Mshana Jr na MziziMkavu, viti vyenu vya enzi viko meza kuu, karibuni
Watu wengi wanaufahamu mti wa mvunge kama mti unaotumika katika tiba ya kurefusha na kunenepesha maumbile ya kiume pamoja na kuongeza ukubwa wa makalio kwa wanawake.
Hii ni kwa sababu, mti wa mvunge umekuwa ukitumika katika tiba ya kurefusha na kunenepesha maumbile ya kiume pamoja na kuongeza ukubwa wa makalio tangu enzi za mabibi na mababu.
Vile ile, mti wa mvunge tayari umethibitishwa kitaalamu kuwa na uwezo wa kitabibu katika kurefusha na kunenepesha maumbile ya kiume pamoja na kuongeza ukubwa wa makalio.
Hata hivyo, mbali na kuwa na uwezo wa kurefusha na kunenepesha maumbile ya kiume pamoja na kunenepesha makalio, mmea wa Mvunge unazo faida nyingine lukuki kwa afya ya mwanadamu.
1. Mti wa mvunge una uwezo wa kutibu majeraha ya vidonda
2. Mti wa mvunge hutibu vidonda visivyo pona โ Vidonda Ndugu โ
3. Mti wa mvunge hutumika kutibu vidonda vya tumbo
4. Majani ya mti wa mvunge hutumika kutibu magonjwa mbalimbali ya zinaa kama vile kaswende na kisonono.
5. Unga wa tunda la mvunge hutumika katika tiba dhidi ya magonjwa mbalimbali ya ngozi.
6. Unga wa tunda la mvunge hutumika kutibu chunusi za usoni na mwilini
7. Mti wa mvunge hutumika katika kutibu bacteria na maambukizi ya bacteria
8. Mti wa mvunge hutumika kuongeza ukubwa wa matiti na kuyasimamisha
9. Mti wa mvunge unatumika kutibu ukurutu
10. Mti wa mvunge ni tiba nzuri sana dhidi ya majipu au upele wenye kutoa usaha.
11. Mti wa mvunge unatumika kutibu maumivu ya chini ya mgongo
12. Mti wa mvunge hutibu maradhi ya maumivu kwenye magoti
13. Mti wa mvunge ni tiba nzuri sana ya tatizo la baridi yabisi.
14. Mti wa mvunge unasaidia kutibu maumivu ya tumbo
15. Mti wa mvunge husaidia kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la maumivu ya kwenye meno.
16. Mti wa mvunge hutumika katika tiba dhidi ya Homa ya mapafu
17. Mti wa mvunge husaidia kutibu tatizo la kukosa choo
18. Mti wa mvunge husaidia kuupa mwili nguvu na joto
19. Mti wa Mvunge hutumika kutibu bawaziri
20. Mti wa Mvunge hutumika kuondosha minyoo wa tumboni
21. Mvunge unapochemshwa kitaalamu kwa pamoja na asali mbichi ya nyuki wadogo, husaidia sana kuondoa lehemu( Cholestrol ) isiyo hitajika mwilini.
22. Mti wa Mvunge husaidia kuongeza maziwa kwa mama anaye nyonyesha...!!