GPA kubwa za vyuoni si kigezo cha kuwa kiongozi bora! GPA kubwa zingine ni za kukariri na kuiba mitihani!Kuna vitu ukiangalia kwa jicho la kawaida kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuongoza inchi kwa marais wetu, mfano nimebahatika kuuona utawala wa Mkapa,Kikweta,Magufuri mpaka Samia,
Niseme ukweli nilikuwa nawakubali Mkapa na Magufuli, ingawa sijui walipata division gani form four,ila nina wasiwasi na huyu mama yetu naomba mwenye matokeo yake ya kidato cha nne na cha sita atuwekee
JPM na ile PhD aliyoandikiwa ndiyo unamaanisha!Mkapa na JPM hao ndo waliokwenda darasani kikamilifu. Hawa wengine sina uhakika.
Nilimaanisha JPM, Mkapa, Nyerere kwa kiasi fulani na JK hawa walikwenda, lakini hawa wengine sina uhakika.JPM na ile PhD aliyoandikiwa ndiyo unamaanisha!
Kumbe akili huna Pascal..sikutarajia utoe jibu la aina hii.Hakuna uhusiano kati ya uwezo wa uongozi na papers qualifications!. Mababu zetu kama Rumanyika, Mkwawa, Mirambo, Isike, etc hawakuwa na elimu hata ya darasa moja lakini waliongoza vizuri.
Angalia uwezo wa mtu kuongoza, naomba usianze kufuatilia elimu za kwenye makaratasi!. Kitu muhimu ni IQ ya mtu na sio papers qualifications! Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling
Pia niliwahi kuuliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?
p
Tuletee kwanza elimu ya baba yako na mama yako kwanzaKuna vitu ukiangalia kwa jicho la kawaida kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuongoza inchi kwa marais wetu, mfano nimebahatika kuuona utawala wa Mkapa,Kikweta,Magufuri mpaka Samia,
Niseme ukweli nilikuwa nawakubali Mkapa na Magufuli, ingawa sijui walipata division gani form four,ila nina wasiwasi na huyu mama yetu naomba mwenye matokeo yake ya kidato cha nne na cha sita atuwekee
Kuna elimu za asili, huitaji shule kujua hili jambo sio jema katika maisha ya kawaida, Kwa mfano kuua,Hakuna uhusiano kati ya uwezo wa uongozi na papers qualifications!. Mababu zetu kama Rumanyika, Mkwawa, Mirambo, Isike, etc hawakuwa na elimu hata ya darasa moja lakini waliongoza vizuri.
Angalia uwezo wa mtu kuongoza, naomba usianze kufuatilia elimu za kwenye makaratasi!. Kitu muhimu ni IQ ya mtu na sio papers qualifications! Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling
Pia niliwahi kuuliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?
p
Wameishia dara la sabaTuletee kwanza elimu ya baba yako na mama yako kwanza
Inamaana hairuhusiwi kuuliza elimu ya kiongozi wako, ni kosa?Tumefika mbali sana kwenye hizi hojaji zetu.It's not healthy!And, it's ok but not alright!
It's ok!Unauliza tu.Inamaana hairuhusiwi kuuliza elimu ya kiongozi wako, ni kosa?
Sasa bongo ni elimu inahitajika ili kupima uwezo wa mtu yaani hapa Tanzania?Unajua kuna watu waliongoza kalibu Nusu ya dunia? Kwa kutumia elimu ya dini, jalibu kusoma stori moja ya Othoman empire, kuanzia China,Spain mpaka West Africa
CCM haina kufeli au kupasi CCM inaamini kwenye kuchaguliwa kwani watu wote ni sawa, ukiwa mwanaccm wewe tayari unaakili nyingi kuliko wasio wanaccm.Kuna vitu ukiangalia kwa jicho la kawaida kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuongoza inchi kwa marais wetu, mfano nimebahatika kuuona utawala wa Mkapa,Kikweta,Magufuri mpaka Samia,