GPA kubwa za vyuoni si kigezo cha kuwa kiongozi bora! GPA kubwa zingine ni za kukariri na kuiba mitihani!Kuna vitu ukiangalia kwa jicho la kawaida kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuongoza inchi kwa marais wetu, mfano nimebahatika kuuona utawala wa Mkapa,Kikweta,Magufuri mpaka Samia,
Niseme ukweli nilikuwa nawakubali Mkapa na Magufuli, ingawa sijui walipata division gani form four,ila nina wasiwasi na huyu mama yetu naomba mwenye matokeo yake ya kidato cha nne na cha sita atuwekee