Naomba nijue elimu za marais wetu na ufaulu wao

Mkimuyangu

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2022
Posts
1,054
Reaction score
1,947
Kuna vitu ukiangalia kwa jicho la kawaida kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuongoza inchi kwa marais wetu, mfano nimebahatika kuuona utawala wa Mkapa,Kikweta,Magufuri mpaka Samia,

Niseme ukweli nilikuwa nawakubali Mkapa na Magufuli, ingawa sijui walipata division gani form four,ila nina wasiwasi na huyu mama yetu naomba mwenye matokeo yake ya kidato cha nne na cha sita atuwekee
 
Haa huyu wa kwetu elimu ndogo lakini imeambatana na uvivu wa kutojali lolote hata vitu vidogo anaona kwake ni mzigo
 
Basi tuchukue Tanzania one wote wawe marais😅.

Elimu kama ulifaulu sana kimpango wako au tuweke sheria atakayefeli asifanye kazi serikalini...Sio rahisi kati ya elimu na utendaji ni vitu viwili tofauti hata ufanyaji kazi.
Mnapokosea ni kwamba kabla ya kupata maendeleo mnaanza siasi ,basi siasa ndo chanzo cha kutoendelea na ujinga wote huu unao endelea .

Siasa inampa madaraka kwa njia za uongo ,uwizi na utapeli ,siasa hiyo ndo inapelekea kuwabeba vilaza hata uwizi wa mitihani.

Hamuwezi kuwa na taifa makini mkiwa mnaamini kweny elimu wakati mnaamini siasa kwa wakati huo huo ...Ni mapema mno hata waliokuwa na elimu ya juu wakina Mugabe waliishia kuwa extravagant wa madaraka..

Kaangali wabunge kwanza ndo utajua siasa ni hatari kuliko UKIMWI.

Huwezi kujadili elimu ulizia katiba inasemaje sio elimu naona bado umri mdogo sana wala hujui katiba ambayo imebeba mlengo wa siasa ,siasa hiyo ndo inamuweka mtu madaraka .

Ukija kugundua nchi hii inaendeshwa na siasa kuliko elimu na maarifa .
 
Hakuna uhusiano kati ya uwezo wa uongozi na papers qualifications!. Mababu zetu kama Rumanyika, Mkwawa, Mirambo, Isike, etc hawakuwa na elimu hata ya darasa moja lakini waliongoza vizuri.

Angalia uwezo wa mtu kuongoza, naomba usianze kufuatilia elimu za kwenye makaratasi!. Kitu muhimu ni IQ ya mtu na sio papers qualifications! Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

Pia niliwahi kuuliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?
p
 
Kwa kuwa ni wagalatia wenzako?
Haya endelea kuwakubali na sie tunawakubali, Mwinyi, Kikwete na Samia,

Hata mimi nilikua na wasiwasi na elimu ya mkremu mwenda zake na nkapa na nyerere
Na ndio walitutia shidani
Ona sasa neema juu ya neema
 
Hakuna uhusiano kati ya uwezo wa uongozi na papers qualifications!. Mababu zetu kama Rumanyika, Mkwawa, Mirambo, Isike, etc hawakuwa na elimu hata ya darasa moja lakini waliongoza vizuri.

Angalia uwezo wa mtu kuongoza, naomba usianze kufuatilia elimu za kwenye makaratasi!. Kitu muhimu ni IQ ya mtu na sio papers qualifications! Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

Pia niliwahi kuuliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?
p
Umemaliza bro🙏
 
Kuna vitu ukiangalia kwa jicho la kawaida kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuongoza inchi kwa marais wetu, mfano nimebahatika kuuona utawala wa Mkapa,Kikweta,Magufuri mpaka Samia,

Niseme ukweli nilikuwa nawakubali Mkapa na Magufuli, ingawa sijui walipata division gani form four,ila nina wasiwasi na huyu mama yetu naomba mwenye matokeo yake ya kidato cha nne na cha sita atuwekee
Ninachofahamu Mwamvua alipuyanga form four yaani aliambulia zero miaka minne alienda shule kutalii
 
Kuna vitu ukiangalia kwa jicho la kawaida kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuongoza inchi kwa marais wetu, mfano nimebahatika kuuona utawala wa Mkapa,Kikweta,Magufuri mpaka Samia,

Niseme ukweli nilikuwa nawakubali Mkapa na Magufuli, ingawa sijui walipata division gani form four,ila nina wasiwasi na huyu mama yetu naomba mwenye matokeo yake ya kidato cha nne na cha sita atuwekee
Huyu bi delila kaunga unga sana si ajab f4 hata dv4 alipata maana alianzia cheti
 
Kuna vitu ukiangalia kwa jicho la kawaida kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuongoza inchi kwa marais wetu, mfano nimebahatika kuuona utawala wa Mkapa,Kikweta,Magufuri mpaka Samia,

Niseme ukweli nilikuwa nawakubali Mkapa na Magufuli, ingawa sijui walipata division gani form four,ila nina wasiwasi na huyu mama yetu naomba mwenye matokeo yake ya kidato cha nne na cha sita atuwekee
Huyu wa sasa muuza rasilimali za Tanganyika in form four failure

Na ile doctorate alipewa kwa lengo la kumuongezea credit, eti angalau amfikie/afanane na JPM kwa kuitwa Doctor flani
 
Haa huyu wa kwetu elimu ndogo lakini imeambatana na uvivu wa kutojali lolote hata vitu vidogo anaona kwake ni mzigo
Pia watu wenye akili/uwezo mdogo kama yeye huwa na chuki na kiburi.

Kuamini hilo la chuki na kiburi tizama yanayoendelea....ana chuki kubwa dhidi ya watanganyika ndio maana anauza rasilimali zake, na kuwapendelea wazenji katika nafasi kibao; na akipewa wito wa kujirudi anaendelea kukaza shingo.
 
Basi tuchukue Tanzania one wote wawe marais😅.

Elimu kama ulifaulu sana kimpango wako au tuweke sheria atakayefeli asifanye kazi serikalini...Sio rahisi kati ya elimu na utendaji ni vitu viwili tofauti hata ufanyaji kazi.
Mnapokosea ni kwamba kabla ya kupata maendeleo mnaanza siasi ,basi siasa ndo chanzo cha kutoendelea na ujinga wote huu unao endelea .

Siasa inampa madaraka kwa njia za uongo ,uwizi na utapeli ,siasa hiyo ndo inapelekea kuwabeba vilaza hata uwizi wa mitihani.

Hamuwezi kuwa na taifa makini mkiwa mnaamini kweny elimu wakati mnaamini siasa kwa wakati huo huo ...Ni mapema mno hata waliokuwa na elimu ya juu wakina Mugabe waliishia kuwa extravagant wa madaraka..

Kaangali wabunge kwanza ndo utajua siasa ni hatari kuliko UKIMWI.

Huwezi kujadili elimu ulizia katiba inasemaje sio elimu naona bado umri mdogo sana wala hujui katiba ambayo imebeba mlengo wa siasa ,siasa hiyo ndo inamuweka mtu madaraka .

Ukija kugundua nchi hii inaendeshwa na siasa kuliko elimu na maarifa .

Hakuna uhusiano kati ya uwezo wa uongozi na papers qualifications!. Mababu zetu kama Rumanyika, Mkwawa, Mirambo, Isike, etc hawakuwa na elimu hata ya darasa moja lakini waliongoza vizuri.

Angalia uwezo wa mtu kuongoza, naomba usianze kufuatilia elimu za kwenye makaratasi!. Kitu muhimu ni IQ ya mtu na sio papers qualifications! Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

Pia niliwahi kuuliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?
p
Mkwawa alikuwa anajua kusoma na kuandika, na alikuwa na elimu ya dini ya Kiisilamu, ndiyo maana vitu vita, ujasiri wake vilichangiwa na elimu
 
Sawa alikuwa na elimu ya dini ,elimu ni pana sana mambo ya kusoma ni mengi ...Ni ngumu sana kutafsiri mtu kielemu huyu yupo fresh kweny sheria , mwingine kweny udaktari ,teknolojia sasa hapo elimu ni pana sana na hakuna kiongozi ambaye hana elimu kabisa hata uchukue watendaji wa vijiji wana elimu angalau kwa level husika.
 
Unajua kuna watu waliongoza kalibu Nusu ya dunia? Kwa kutumia elimu ya dini, jalibu kusoma stori moja ya Othoman empire, kuanzia China,Spain mpaka West Africa
 
Back
Top Bottom