Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Wapo wengi mno na wengi wana you tube channel juzi nilikuwa na angalia kijana only 19 years old kahama Jumla na wala issue si corona .kule hawako Happy ajili ya ubaguziBinafi nakutana nao wengi sana Maeneo ya Ununio na saivi hata nikienda Malls haswa Mlimani City nakutana nao wengi sana sasa sijui ni watalii au ndio wamehamia maana idadi yao kama siyo ya kawaida.
Acha uoga ww. Mbona una roho ya korosho. Hao ni wenzako waliochukuliwa utumwani wanarudi kwao unawakataa. Turoho twa korosho hatari sanaWakipewa ardhi tumekwisha,tuilinde ardhi yetu kwa ajili ya akina junior wetu miaka ya mbele huko wasije kutawaliwa na mkoloni mweusi
tatizo watafanya kazi gani?Wapo wengi mno na wengi wana you tube channel juzi nilikuwa na angalia kijana only 19 years old kahama Jumla na wala issue si corona .kule hawako Happy ajili ya ubaguzi
Nimesikia kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi kwa sababu wanakimbia kuchanjwa kinga ya corona.
Pia sababu nyingine ni kuipenda TZ kwa sababu ya JPM walivyokuwa wanamhusudu.
Wapo sema kumeibuka wimbi la wanigeria wanatumia ushamba wa baadhi ya dada zetu kwa kuiga rafudhi na swaga za kimarekani na kuwanyandua wakiwapromise American dream.
Hakuna watu wapumbav Kama black Americans .. naoongea with experience na Kama unabisha tafuta tour guides au wale vijana wa Zanzibar watakupa stories zao.
Bora ufanye kazi na Mzungu kuliko black Americans
Ass kisserNani alikufundisha self hate
Who thought africans self hate
Wanafata utaratibu, wana'apply for residential permit' wanakodi mjengo maisha yanaendelea, kumiliki ardhi ni mpaka wapate uraia wa Tanzania na njia rahisi kwao ni kuoa ama kuolewa na raia wa Tanzania.Uhamiaji wanalifahamu hili? Je, hivi ndivyo sheria zetu za uhamiaji zinavyosema? Nitakuwa Wa mwisho kuamini haya.
kisa tunachangia kwenye free platform usidhani tunafanana, fyi niko vizuri sana hapa sihitaji kwenda popote labda kutalii na kurudi.Ulalamishi unasaidia kutoka kwenye umasikini. Wewe uko hapa bongo hulalamiki lakini upo kwenye tatizo moja miaka nenda rudi
Wengi ni YouTubers wanaosafiri na walijaa sana bongo kwasababu ni nchi ambayo haikuwa na LOCKDOWN kwahiyo hakukuwa na option ya kwenda zaidi ya kuja bongo.Wapo wengi mno na wengi wana you tube channel juzi nilikuwa na angalia kijana only 19 years old kahama Jumla na wala issue si corona .kule hawako Happy ajili ya ubaguzi
Baada ya kuchoka kukaa ndani iliwabidi watoke kuja kutalii na nchi ambazo hazikuwa na lockdown ni Ghana na Tanzania ambazo mazingira yake ni rafikiWengi ni YouTubers wanaosafiri na walijaa sana bongo kwasababu ni nchi ambayo haikuwa na LOCKDOWN kwahiyo hakukuwa na option ya kwenda zaidi ya kuja bongo.
FafanuaHakuna watu wapumbav Kama black Americans .. naoongea with experience na Kama unabisha tafuta tour guides au wale vijana wa Zanzibar watakupa stories zao.
Bora ufanye kazi na Mzungu kuliko black Americans
Binafsi mi nawashangaa hao black american kuiacha nchi km marekani kuja kuishi kwenye shithole country km Tanzania! ,Ambapo kuna kila aina ya mambo ya hovyo km vile uchafu, ujenzi holela, hakuna ajira vibaka kila kona na mwisho viongozi wa hovyo. ....anyway labda kuna masaibu makubwa wamekutana nayo mpaka kukubali kuishi kwenye mazingira km haya.Waje tujenge Asili yetu kwa nguvu zote.
Na ingefaa sana our captain JPM angalikua hai
In fact yeye ndie alie onesha uelekeo na kuusimamia na kuwashawishi hao black Americans kwa namna frani.
English ya shilole ni nzuri kuliko hizi pumba, ndo black american 🤣🤣🤣🤣I'm black American
I am from Los Angeles and currently live in Tanzania
....shithole