MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Duh hongera sana. Wanauzika??Wana JF nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Nime graduate sasa, kwa muda mrefu nimemiliki Pit bulls, Doberman na GS. Sasa nataka kwenda wild not tamed, big cats OG.
I need info,
Ile feeling kwamba pale kwa yule Don, kuna simba au chui, its fulfilling. Hopefully NEMC hawatanifungia mzee wa nyika akiungurumaDuh hongera sana. Wanauzika??
HahahaIle feeling kwamba pale kwa yule Don, kuna simba au chui, its fulfilling. Hopefully NEMC hawatanifungia mzee wa nyika akiunguruma
Very helpfulhii video itakusaidia;
ushauri mzuri, ila mission yangu ikiwa accomplished issue ya wakora na vidokozi will be historical, things of the past.Gharama zake utaziweza?
Isije ikawa umepata wazo la kufuga mnyama kama Tiger kwasababu umeamia jirani na machinjio.
Umepiga hesabu zako umeona utumbo na ashua utakuwa unavipata kirahisi ukaamua uzitafutie fursa.
Anyway
Kumfuga mnyama aina ya chui kama pet gharama zake sio za kitoto hata kidogo.
Mike Tyson alifuga Tiger, kila siku alikuwa anatumia $1,500 na pale ambapo Tiger kaenda kwa majirani alikuwa analipa $100,000 kama fidia.
So in case unafuga Tiger basi utahitajika kuwa na nyumba yenye eneo kubwa kuliko Mike Tyson.
Pamoja na hayo ukumbuke nyakati za misosi unatakiwa uwe on time kama kengele ya church. Ukichelewa tu basi siku hiyo utatakiwa kumpa chakula ukiwa unakidondosha kutoka juu ya chopper.
Kuna yule mwamba jaguar, it is a bad news.Fuga Duma, chui atakuzingua na hafugiki kiurahisi kama Simba ama Duma.
I can smell mkora hapa from farPindi utapo kufa mbele za haki nani atasimamia hao wanyama., wewe una roho ya kinyama unaonekana live live.
Kama ndivyo basi sheria zifanyiwe marekebisho kuwapa raia uwezo wa kufaidi urithi wa nchi yaoKwa Sheria za Tanzania sijui kama inawezekana hili.
Fuga kwanza kiumbe hatari kuliko shetani anayeitwa mke, ukimmudu, ndio fuga chui na SimbaWana JF nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Nime graduate sasa, kwa muda mrefu nimemiliki Pit bulls, Doberman na GS. Sasa nataka kwenda wild not tamed, big cats OG.
Keeping a lion, leopard or jaguar, is my new dream. The idea of having neighbours lamenting, this very Don, Mixologist is keeping a wild animal is very fulfilling.
For sure, wakora na wadokozi who are used to deal with dogs they must up their game. Trespassing my property will be a deadly and costly mission impossible
Trespassers will definitely be eaten
I need info,
Mke ni hatari zaidi. Pamoja na kuumba wanyama hatari wa mwituni kama simba, chui, jaguar, chatu na hayawani wengine, Mungu hakutuhasa tuishi nao kwa akili, bali mwanamke
Acha roho mbaya kaka sasa wewe unawafugia binadamu wenzako chui na simba, pepo utaisikia.I can smell mkora hapa from far
Na ukitaka kujua kwamba mwanamke ni kiumbe hàatari, Mwenyezi Mungu hakutaka kumuumba, sema tu ilimbidi tu, sababu ya upweke wa AdamMke ni hatari zaidi. Pamoja na kuumba wanyama hatari wa mwituni kama simba, chui, jaguar, chatu na hayawani wengine, Mungu hakutuhasa tuishi nao kwa akili, bali mwanamke
Hauna testicle? Nasikia ndio chakula chakeNina ndoto ya kumfuga honey burger!