Naomba nijuzwe taratibu za kufuga Chui au Simba

Hairuhusiwi kufuga nyumbani...
Unaweza anazisha zoo na kuomba kibali cha kumiliki zoo...
Umewahi fikiria watoto watundu wa kwako na majirani na wageni wanaokuja kwako usalama wao??
 
I thought through the whole idea, inawezekanika. Watoto wanafundishwa kuwa makinil. Basi sheria zetu ni za kiduanzi
 
I thought through the whole idea, inawezekanika. Watoto wanafundishwa kuwa makini
Haiwezekani kuleta wild animals kwenye residential areas ... residential areas zina watu wengi sio watoto wako Tu...kuna wapita njia ..wageni n.k

Unaweza anazisha zoo na ukaishi kwenye zoo....hutakatazwa kujenga nyumba yako kwenye zoo....Ila hakuna kibali cha kuleta wild animals kwenye makazi
 
Sheria zetu ni za kiduanzi tu, kama naweza ku keep na hao wote wasidhurike, what is the big deal?
 
Sheria ziko sawa....wewe unawajua wild animals au unawaona Tu Kwa TV? Unajua umbali ambao Simba anaweza kuruka kwenda kudhuru watoto au mifugo ya jirani au ya kwako ?
 
Mkuu, simba nao wanataka ku explore hii dunia ya Mungu, siyo kila siku kukaa maporini
 
Back
Top Bottom