MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
- Thread starter
- #21
Huyo ni bad newsNina ndoto ya kumfuga honey burger!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni bad newsNina ndoto ya kumfuga honey burger!
Ni waduanzi sanaNa ukitaka kujua kwamba mwanamke ni kiumbe hàatari, Mwenyezi Mungu hakutaka kumuumba, sema tu ilimbidi tu, sababu ya upweke wa Adam
I thought through the whole idea, inawezekanika. Watoto wanafundishwa kuwa makinil. Basi sheria zetu ni za kiduanziHairuhusiwi kufuga nyumbani...
Unaweza anazisha zoo na kuomba kibali cha kumiliki zoo...
Umewahi fikiria watoto watundu wa kwako na majirani na wageni wanaokuja kwako usalama wao??
Haiwezekani kuleta wild animals kwenye residential areas ... residential areas zina watu wengi sio watoto wako Tu...kuna wapita njia ..wageni n.kI thought through the whole idea, inawezekanika. Watoto wanafundishwa kuwa makini
hii video itakusaidia;
Sheria zetu ni za kiduanzi tu, kama naweza ku keep na hao wote wasidhurike, what is the big deal?Haiwezekani kuleta wild animals kwenye residential areas ... residential areas zina watu wengi sio watoto wako Tu...kuna wapita njia ..wageni n.k
Unaweza anazisha zoo na ukaishi kwenye zoo....hutakatazwa kujenga nyumba yako kwenye zoo....Ila hakuna kibali cha kuleta wild animals kwenye makazi
Sheria ziko sawa....wewe unawajua wild animals au unawaona Tu Kwa TV? Unajua umbali ambao Simba anaweza kuruka kwenda kudhuru watoto au mifugo ya jirani au ya kwako ?Sheria zetu ni za kiduanzi tu, kama naweza ku keep na hao wote wasidhurike, what is the big deal?
Mkuu, simba nao wanataka ku explore hii dunia ya Mungu, siyo kila siku kukaa maporiniSheria ziko sawa....wewe unawajua wild animals au unawaona Tu Kwa TV? Unajua umbali ambao Simba anaweza kuruka kwenda kudhuru watoto au mifugo ya jirani au ya kwako ?