Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

Asalaaaalee πŸ˜‚ naomba kurudisha mic 🎀
 
[emoji1787][emoji120]kama elly mwenyezi Mungu kamjalia rizki mtakulana siku ni swala la muda

Ila kama hana maokoto probability ya kuzagamuana inashuka
Mmmh mkuu tusifike huko, najua kweli utani mara nyingine una matokeo yake lakini kwa huyu binti huwa ni kutaniana hivi, miaka mingi tu.
 
Mmmh mkuu tusifike huko, najua kweli utani mara nyingine una matokeo yake lakini kwa huyu binti huwa ni kutaniana hivi, miaka mingi tu.
Achana naye bwana
Mshukuru kwa maombi mazuri🀣
 
Akikubali wito nistueni mi boda boda mkongwe wa kuwapeleka wake za watu viwanja wakachakatwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…