wa baha ela
Member
- Jan 20, 2013
- 37
- 5
Mkuu hivi sasa principal pass ni C hvyo zinahitajika C 2 so kwa tokeo hilo mchomeshe diploma DIT MUST ya civil atapata.
Kiongoz shadcore, kitabu kilichopo TCU ukurasa wa 10 kinasema
1.
For the new grading system A to C is PRINCIPAL PASS while D is PASS
2. For an applicant to qualify to join higher education institution MUST have at least two Ds
in form Six examination from core subjects. This applies to the year 2014/2015 only
Au uelewa wangu ni mfupi juu ya ilo?

Mwenye division four hana sifa za kujiunga elim ya juu hvyo bas akiombe diproma
Habari?
Mdogo wangu amesoma PCM na kapata division 4 na grades zake ni DDC.. Kaniachia jukumu la kumchagulia chuo kupitia CAS, angependa kusomea Civil Engineering.. Je kwa ufaulu huo anaweza kupata chuo?, Zaidi somo la GS kapata E. Ahsante kwa mawazo utakayonichangia.
Hizi elimu za siku hizi kazi kweli, miaka michache iliyopita hata mtu aliyepata two chuo kikuu alikuwa hapati. Leo mtu aliyepata four tena karibu na sifuri anataka kusoma civil engineering? Like heaven Tanzania is full of mysteries!
Habari?
Mdogo wangu amesoma PCM na kapata division 4 na grades zake ni DDC.. Kaniachia jukumu la kumchagulia chuo kupitia CAS, angependa kusomea Civil Engineering.. Je kwa ufaulu huo anaweza kupata chuo?, Zaidi somo la GS kapata E. Ahsante kwa mawazo utakayonichangia.
Hahahahhhhaahh! lazima apaniki coz hakuna anayependa mwenzie akipata.Mkuu usipanik kam nyie mlikua na divsn two na mkakosa chuo hyo kwenu, ila sisi watoto wa BRN hatuna habari,
Mi mwenyewe nina four na nmepata chuo, bachelor of education special need. SEKOMU
Kama ndugu zako wanavolima kule kijijini kwenu.kwa nn asiende kulima kijijin
kwa nn asiende kulima kijijin