Naomba nisaidiwe juu ya marks hizi za form 6

wa baha ela

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
37
Reaction score
5
Habari,

Mdogo wangu amesoma PCM na kapata division 4 na grades zake ni DDC.

Kaniachia jukumu la kumchagulia chuo kupitia CAS, angependa kusomea Civil Engineering. Je kwa ufaulu huo anaweza kupata chuo?, Zaidi somo la GS kapata E.

Ahsante kwa mawazo utakayonichangia.
 
Mkuu hivi sasa principal pass ni C hvyo zinahitajika C 2 so kwa tokeo hilo mchomeshe diploma DIT MUST ya civil atapata.
 
Kiongoz shadcore, kitabu kilichopo TCU ukurasa wa 10 kinasema

1.
For the new grading system ‘A’ to ‘C’ is PRINCIPAL PASS while ‘D’ is PASS
2. For an applicant to qualify to join higher education institution MUST have at least two D’s
in form Six examination from core subjects. This applies to the year 2014/2015 only

Au uelewa wangu ni mfupi juu ya ilo?
 
Mkuu kwa mujibu wa habari mpya kutoka TCU principal ni C even though TCU waliweka hizo grade bila mawasiliano na Necta pale mwanzoni, but ol in ol hebu ajaribu kuaply pia asiache kuaply na diploma.
 
Mwenye division four hana sifa za kujiunga elim ya juu hvyo bas akiombe diproma
 
Kiongoz shadcore, kitabu kilichopo TCU ukurasa wa 10 kinasema

1.
For the new grading system ‘A’ to ‘C’ is PRINCIPAL PASS while ‘D’ is PASS
2. For an applicant to qualify to join higher education institution MUST have at least two D’s
in form Six examination from core subjects. This applies to the year 2014/2015 only

Au uelewa wangu ni mfupi juu ya ilo?

Mkuu kam huna C mbili huna chuo.
 
Mwenye division four hana sifa za kujiunga elim ya juu hvyo bas akiombe diproma

Usilolijua ni usiku wa giza, hatimae kapata chuo na wale wenye division 3 walijiamini sana wamekosa first selection wanasubiri second.. "Mawazo ya watu changanya na akili yako".
 
kwa mfano kama imetokea bahati nzuri kwani kuna tatizo eti kwa mfano
 
Habari?
Mdogo wangu amesoma PCM na kapata division 4 na grades zake ni DDC.. Kaniachia jukumu la kumchagulia chuo kupitia CAS, angependa kusomea Civil Engineering.. Je kwa ufaulu huo anaweza kupata chuo?, Zaidi somo la GS kapata E. Ahsante kwa mawazo utakayonichangia.

Hizi elimu za siku hizi kazi kweli, miaka michache iliyopita hata mtu aliyepata two chuo kikuu alikuwa hapati. Leo mtu aliyepata four tena karibu na sifuri anataka kusoma civil engineering? Like heaven Tanzania is full of mysteries!
 
Mkuu usipanik kam nyie mlikua na divsn two na mkakosa chuo hyo kwenu, ila sisi watoto wa BRN hatuna habari,
Mi mwenyewe nina four na nmepata chuo, bachelor of education special need. SEKOMU
 
Habari?
Mdogo wangu amesoma PCM na kapata division 4 na grades zake ni DDC.. Kaniachia jukumu la kumchagulia chuo kupitia CAS, angependa kusomea Civil Engineering.. Je kwa ufaulu huo anaweza kupata chuo?, Zaidi somo la GS kapata E. Ahsante kwa mawazo utakayonichangia.

kwa nn asiende kulima kijijin
 
Mkuu usipanik kam nyie mlikua na divsn two na mkakosa chuo hyo kwenu, ila sisi watoto wa BRN hatuna habari,
Mi mwenyewe nina four na nmepata chuo, bachelor of education special need. SEKOMU
Hahahahhhhaahh! lazima apaniki coz hakuna anayependa mwenzie akipata.
 
tatzo ni upeo mfupi tu,kama angetaka kulima acngehangaika kutaka ushauri huku,jarbu kuwa mstaarabu kidogo,kumbuka kuna wenye degree na wanalima na kuna wenye four wanakalia viti vya kuslide maofising,chamsing toa ushauri na sio kejeli
 
Back
Top Bottom