wa baha ela
Member
- Jan 20, 2013
- 37
- 5
Habari,
Mdogo wangu amesoma PCM na kapata division 4 na grades zake ni DDC.
Kaniachia jukumu la kumchagulia chuo kupitia CAS, angependa kusomea Civil Engineering. Je kwa ufaulu huo anaweza kupata chuo?, Zaidi somo la GS kapata E.
Ahsante kwa mawazo utakayonichangia.