Naomba nisaidiwe past papers za comb ya ECA

Naomba nisaidiwe past papers za comb ya ECA

Joined
Aug 31, 2023
Posts
28
Reaction score
72
Msaada wanataaluma wa past papers za ECA
Nitashukuru sana nikifanikiwa namba yangu ya Whatsapp nitakutumia inbox ukihitaji kunisaidia
 
Msaada wanataaluma wa past papers za ECA
Nitashukuru sana nikifanikiwa namba yangu ya Whatsapp nitakutumia inbox ukihitaji kunisaidia

Siku hizi kuna review books ambazo zina mkusanyiko wa hizo past papers, za NECTA.
Kwa hiyo ni bora ukatafuta hivyo vitabu.

Pia pitia tovuti hii Past Papers/Resources – Maktaba by TETEA unaweza kupata baadhi ya past papers za NECTA za masomo yote.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom