Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Tatizo mmekaa kuwategemea kila kitu kuanzia kwenye finances, mavazi, kula, kulala na hizo needs zote zingine.Wanaume ndo kwanza hamnaga tym ....kila kitu mnajifanyaa mpo faster eti ubusy
Alafu unategemea tena akuridhishe kimapenzi? Kwanini wewe usimridhishe huyo aliekuhudumia kwa hali na mali? Mnakuwa wanyonyaji wakubwa, nikupe kila unataka bado unataka nikuridhishe kwa bed instead wewe ndio uniridhishe? What am i doing? Investing? Fnck off