Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Wee kuna nyingine zinapaliaaa
We mtoto umepotelea wapi, nina kazi na wewe ujue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee kuna nyingine zinapaliaaa
Wanawake tunajitahid usafi mnooo!!hatuwanyanyapai ila tunajikinga tusipakazwe uchafu.kuhusu kumpa jamaa y not nisimpee ni msafi mbona hana hizi mambo za kuvaa boxer pasipo kujisafisha.Huo sasa unaitwa unyanyepa, kwa mtindo huo kweli jamaa hua unampa mambo kama shaking hands tu ni issue? Halafu nani kakwambia wanawake wote unaopeana nao mkono ni wasafi?
Hahahahaaa, mpe Hi jamaa, ila kweli usafi ndio mpango mzimaWanawake tunajitahid usafi mnooo!!hatuwanyanyapai ila tunajikinga tusipakazwe uchafu.kuhusu kumpa jamaa y not nisimpee ni msafi mbona hana hizi mambo za kuvaa boxer pasipo kujisafisha.
Asante mamaWanatuachia sie ukitaka kucheza na mike wewe osha tu
Hongera kwa uhudhuriaji mzuri mgodini jiwe la gizani hilo litakuwa lishamfika mwenyewe, natamaniWapendwa habari za masiku,
Naomba niseme na baadhi ya wanamume,
Jaman kuna baaadhi ya wanaume wa siku hizi hawajui kushake well ,mmekuwaje?? Mtu unaenda kukojoaa kwann usituliee umalize mkojo ujikungute ndo urudishe huyo nyoka wako pangoni vizur????au kama huwezi si utumiee maji kujisafisha jaman??manake mtu unakutaaa ana chumvi chumvi kwa babu balaaa utasema uvinzaa hebu jifunzeni kushake well bwana hatutaki kusikia tuharufu twa mikojo tukiwa tunawavuaaa kisa mna haraka ya kukojoaa!!
Hebu acheni papara wakati wa kujojoaa bwana,kuna wakati mwingine unakutaa watu tushazidiwa na hili baridi kuogaa kablaa ya shughuli unajikuta unachelewa unamrukia baby kwa babu unakutana na chumvi chumvi aaaaaaaaaaaaagh.........stimu zinakata jaman!!!
hebu kuweni makini wakati wa kukojoaa na ukimaliza make sure una shake well then ndo unamrudishe huyo mzee sehemu husika!!!
Mambembe the unstoppable
QUEEN OF ALL WEATHER
Wanaume ndo kwanza hamnaga tym ....kila kitu mnajifanyaa mpo faster eti ubusyJamii bwana kuna viroja, yani umefanyiwa kulambishwa koni na mvulana wako huko alafu unakuja kutulaumu sisi wanaume?
Kwanini suingemchana tu hapo hapo? Au ndio ile "ukiwa na pesa utasifiwa kitambi"
Tulia na mmoja utazoea ladha ya urea
Wanaume ndo kwanza hamnaga tym ....kila kitu mnajifanyaa mpo faster eti ubusyJamii bwana kuna viroja, yani umefanyiwa kulambishwa koni na mvulana wako huko alafu unakuja kutulaumu sisi wanaume?
Kwanini suingemchana tu hapo hapo? Au ndio ile "ukiwa na pesa utasifiwa kitambi"
Tulia na mmoja utazoea ladha ya urea
Na mademu kibao hua wanaweka hilo carpet sio wanaume pekeeYanakuwaga na fukuto saana na wanaume ni wabishi saana hivi kwann??