Naomba niseme na baadhi ya wanamume

Naomba niseme na baadhi ya wanamume

Huo sasa unaitwa unyanyepa, kwa mtindo huo kweli jamaa hua unampa mambo kama shaking hands tu ni issue? Halafu nani kakwambia wanawake wote unaopeana nao mkono ni wasafi?
Wanawake tunajitahid usafi mnooo!!hatuwanyanyapai ila tunajikinga tusipakazwe uchafu.kuhusu kumpa jamaa y not nisimpee ni msafi mbona hana hizi mambo za kuvaa boxer pasipo kujisafisha.
 
Wanawake tunajitahid usafi mnooo!!hatuwanyanyapai ila tunajikinga tusipakazwe uchafu.kuhusu kumpa jamaa y not nisimpee ni msafi mbona hana hizi mambo za kuvaa boxer pasipo kujisafisha.
Hahahahaaa, mpe Hi jamaa, ila kweli usafi ndio mpango mzima
 
Wapendwa habari za masiku,
Naomba niseme na baadhi ya wanamume,

Jaman kuna baaadhi ya wanaume wa siku hizi hawajui kushake well ,mmekuwaje?? Mtu unaenda kukojoaa kwann usituliee umalize mkojo ujikungute ndo urudishe huyo nyoka wako pangoni vizur????au kama huwezi si utumiee maji kujisafisha jaman??manake mtu unakutaaa ana chumvi chumvi kwa babu balaaa utasema uvinzaa hebu jifunzeni kushake well bwana hatutaki kusikia tuharufu twa mikojo tukiwa tunawavuaaa kisa mna haraka ya kukojoaa!!

Hebu acheni papara wakati wa kujojoaa bwana,kuna wakati mwingine unakutaa watu tushazidiwa na hili baridi kuogaa kablaa ya shughuli unajikuta unachelewa unamrukia baby kwa babu unakutana na chumvi chumvi aaaaaaaaaaaaagh.........stimu zinakata jaman!!!
hebu kuweni makini wakati wa kukojoaa na ukimaliza make sure una shake well then ndo unamrudishe huyo mzee sehemu husika!!!

Mambembe the unstoppable
QUEEN OF ALL WEATHER
Hongera kwa uhudhuriaji mzuri mgodini jiwe la gizani hilo litakuwa lishamfika mwenyewe, natamani
 
Jamii bwana kuna viroja, yani umefanyiwa kulambishwa koni na mvulana wako huko alafu unakuja kutulaumu sisi wanaume?

Kwanini suingemchana tu hapo hapo? Au ndio ile "ukiwa na pesa utasifiwa kitambi"

Tulia na mmoja utazoea ladha ya urea
 
Wanaume ndo kwanza hamnaga tym ....kila kitu mnajifanyaa mpo faster eti ubusy
 
Mambembe,huwa nakuhusudu sana mtoto ww kwa aina ya topic zako...halafu unavyoelekea utakuwa ni mtamu sana ww kiumbe kama ukipikwa vzr hahahahahahaaaaa,ujumbe nadhani utakuwa umewagusa wahusika!
 
[emoji3][emoji3]jf ilivyo utakuta mshikaji nae atakuja kuweka uzi hapa, demu niliyekutana hajui kunyonya dushe[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom