Naomba niseme na baadhi ya wanamume

Naomba niseme na baadhi ya wanamume

Aahaha kunyoa yote ni nomaa unashangaa umekaa sehemu ya watu weng yanaanza kuwasha unajikuta unaingiza mikono mfukoni tuu ndomana tukisha kutana na hyo aza haha haturudii tenaa kunyoaa hahah
Basi bora mpunguze
 
Hata Ninyi pia baadhi yenu huwa wachafu sana sasa unakuta demu anaenda kukojoa hata Bila maji anachutama tu kamaliza huwa manuka sana
 
Wapendwa habari za masiku,
Naomba niseme na baadhi ya wanamume,

Jaman kuna baaadhi ya wanaume wa siku hizi hawajui kushake well ,mmekuwaje?? Mtu unaenda kukojoaa kwann usituliee umalize mkojo ujikungute ndo urudishe huyo nyoka wako pangoni vizur????au kama huwezi si utumiee maji kujisafisha jaman??manake mtu unakutaaa ana chumvi chumvi kwa babu balaaa utasema uvinzaa hebu jifunzeni kushake well bwana hatutaki kusikia tuharufu twa mikojo tukiwa tunawavuaaa kisa mna haraka ya kukojoaa!!

Hebu acheni papara wakati wa kujojoaa bwana,kuna wakati mwingine unakutaa watu tushazidiwa na hili baridi kuogaa kablaa ya shughuli unajikuta unachelewa unamrukia baby kwa babu unakutana na chumvi chumvi aaaaaaaaaaaaagh.........stimu zinakata jaman!!!
hebu kuweni makini wakati wa kukojoaa na ukimaliza make sure una shake well then ndo unamrudishe huyo mzee sehemu husika!!!


Mambembe the unstoppable
QUEEN OF ALL WEATHER
Naona mnyonya koni umeamua utoe ya moyoni.....ungekua ushawai kua na mbo.. Ungejua adha tunayokumbana nayo....
 
Back
Top Bottom