Naomba nisiwe mnafiki, naomba Lethoso iifunge Cape Verde 3 bila

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Maombi yangu maalum ni kwa Lesotho kupata ushindi mnono wa goli 3 bila kesho dhidi ya Cape Verde.

Kama Lesotho atapata pointi 3 zote kesho na timu ya wema sepetu na bashite ikapigwa 2 bashite na Uganda ntafurahi sana.

Sina sababu ya uwatakia ushindi timu ya bashite maana itakua ni kupoteza muda maana huko mbele watapigwa 7 itakua aibu, bora watoke sasa tufanye mambo mengine kuliko kuna kujichotea zigo la aibu huko mbele.
 
Wewe sio mwanadamu wa kawaida, yawezekana ulikimbia milembe kabla hujamaliza dozi. Ni heri tufuzu tukafungwe Misri kuliko kutofuzu. Upuuzi wa aina hii, usiupost hadharani tukafahamu kiwango chako cha ujinga, , jisemee kimoyomoyo
 
Wewe sio mwanadamu wa kawaida, yawezekana ulikimbia milembe kabla hujamaliza dozi. Ni heri tufuzu tukafungwe Misri kuliko kutofuzu. Upuuzi wa aina hii, usiupost hadharani tukafahamu kiwango chako cha ujinga, , jisemee kimoyomoyo
Username yako inaonyesha wewe ni praise team, zero brain. Sina sababu tena ya kujadiliana na wewe.
 
Naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hata kuandika tu neno Lesotho inakushinda unadhani unaweza fanikiwa maombi yako?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mie nasapoti tufungwe na tutolewe kabisa. Mana washaanza kuingiza siasa za kile chama chenye laana CCM.
Juzi simba kashinda wanaanza kumpongeza magufuli.
Tena nimefurahi kusikia Bashite zero brain ndo mwenyekiti wa kamati ya kileta ushindi T/stars. Huyu jamaa hajawahi kuwafanikiwa ktik kampeni yoyote anayofanya. Definately TUTAFUNGWA TU. HILI SINA SHAKA NALO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…