Naomba nisiwe mnafiki, naomba Lethoso iifunge Cape Verde 3 bila

Naomba nisiwe mnafiki, naomba Lethoso iifunge Cape Verde 3 bila

Unadhani kwa kuwa wewe umeolewa upo kumkatia viuno mme wako sahivi kila mtu yupo kama wewe...wengine tumeoa tena tumeoa wanawake warembo waliokuzidi wewe kila kitu
Sibishani na mashoga
 
Maombi yako yamekwisha kupoteza mwelekeo ktk ulimwengu huu na hata ule wa roho hakuna nchi inayoitwa Lethoso. Hivyo hilo ni dua la kuku
Maombi yangu maalum ni kwa Lethoso kupata ushindi mnono wa goli 3 bila kesho dhidi ya Cape Verde.

Kama Lethoso atapata pointi 3 zote kesho na timu ya wema sepetu na bashite ikapigwa 2 bashite na Uganda ntafurahi sana.

Sina sababu ya uwatakia ushindi timu ya bashite maana itakua ni kupoteza muda maana huko mbele watapigwa 7 itakua aibu, bora watoke sasa tufanye mambo mengine kuliko kuna kujichotea zigo la aibu huko mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kama wapumbavu wengine tu
 
tangu wachezaji waitwe nilishaichukia taifa stars..... timu haina beki wala viungo washambuliaji...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe sio mwanadamu wa kawaida, yawezekana ulikimbia milembe kabla hujamaliza dozi. Ni heri tufuzu tukafungwe Misri kuliko kutofuzu. Upuuzi wa aina hii, usiupost hadharani tukafahamu kiwango chako cha ujinga, , jisemee kimoyomoyo
Kwanini usimjibu kwa hoja kuliko Matusi?
Kama kweli tuna nia ya dhati kwanini tusiwatumie Malejendi wa soka kama akina Ally Mayai, Pawasa, Chambua, n.k kuliko kulifanya jambo la soka kuwa la kisiasa?
I wish the same
 
Hoja imetolewa na imeungwa mkono. Wanaoisupport kama mimi waseme ndioooooooooooooooo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom