Naomba nitumie nafasi hii kuwataka radhi ndugu zangu. Nimetukanwa leo nikashukuru tu

Naomba nitumie nafasi hii kuwataka radhi ndugu zangu. Nimetukanwa leo nikashukuru tu

Kwa nimjuavyo mzee mzito Kiduku lilo haya mambo hayakuishia hapo...alipofika nyumbani itakuwa alilia sana na kutafakari inawezekana vipi pande la mtu lijae ndani ya Ist kiasi cha kukosa pumzi, pia amesikitika kwa nini asingechukua namba yake japo amsaidie Ml 50 akanunue gari ili akitupe hicho kitu chake kutoka Toyota.
[emoji23][emoji23]
 
Jamaa ilibidi aondoke tu ili kukwepa masimango ya Kiduku lilo.
1572405636-picsay.jpeg
 
Utakuta hata IST hana mbavu zangu jamani huyu atakuwa shemeji yangu Inshomile tu
 
Back
Top Bottom