Habri gan ndugu zangu?
Naomba niwape kisa cha kweli kilichonitokea jana.
Usiku wa saa moja nilitoka mizunguko yangu bila mafanikio yaani jana sikuingiza hata mia, nikaingia ndani nikavuta kiti nikajiegesha nikashtuka saa nne basi nikakimbia kujilaza ninapolala usingizi ukakubali maana nilichoka hadi akili,
Ghafla saa 9.30 nasikia mpangaji wangu ananiita dirishani,nikashtuka nikatoka akaanza kufoka mbona sielewi nikamwambia umeme siyo zamu yako maana kumbe umeme uliisha, akasema siyo umeme nikauliza sasa nini?
Akasema kuna mtu ananiwangia humu,nikamwambia mimi mambo hayo sina alafu siyajui, akajaribu kunielewesha sikuelewa nikamwambia ngoja tutauliza kukukucha muhimu dua, sasa mbaya zaidi kadi yake inaisha mwezi wa kumi lakini alinilipa miezi 6 wiki iliyopita,
Jana kaomba nimrudishie aangalie kwanza kwahiyo hapa namtafutia kadi yake nimrudishie nafikiri akiendelea kukabwa atahama, ila pesa yake ilishaingia kwenye kazi nyingine.
Poleni kwa kuwachosha mimi sijui kuhariri