Halafu kuamkia leo sijui imekuwaje nimeona watu wameota ndoto za ajab ajab...
Mimi pia nimeota mtu ninayemjua amepata ajali kavunjika miguu yote miwili. Nilivyoamka ikabidi niombe Mungu yasitokee.