Naomba niwashauri wanaume wenzangu

Naomba niwashauri wanaume wenzangu

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Naomba niwashauri wanaume wenzangu
1735459738268.jpg
, mwaka mpya huu wa 2025 unataka kufanikiwa chagua mdada mmoja bonge mzuri anayejitambua jiweke hapo tulia utafanya maendeleo haraka sana.
Wadada mabonge wanajua kupenda sana wametulia ukimpenda anaridhika hawana tamaa hata kidogo.
Wanajielewa na wengi unakuta muda mwingi wako single wakipata mtu wanamng'ang'ania hivyo huwezi wakuta wanasaliti ovyo kikubwa zaidi sio watu wakutaka kuishi maisha expensive ukimpata yeye anaweza maendeleo na ndoa.

Sasa jichanganye uje kwa hawa wenye maumbo ya wastani na wembamba tena awe mweupe anakomwe asilimia 90 utafirisika.
 
Back
Top Bottom