Naomba niwaulize Polisi: Hivi nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Rais Samia, kichwa chake halali yangu; nitakamatwa nihojiwe?

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
15,415
Reaction score
29,584
Kuna wakati huwa najiuliza namna akili ya Polisi wetu wa Tanzania inavyofanya kazi nashindwa kabisa kuwaelewa.
  • Nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Raisi Samia kichwa chake halali yangu; nitakamatwa nihojiwe kwa kumtishia mtu atakaemdhuru Samia?
    • Kwa nini unikamate kwa kutoa kauli yenye kuonyesha nachukia kitu kiovu na natoa tamko ili kisitokee?
  • Zitto amesema Polisi wakikamatwa na kura bandia za wizi ACT wazalendo watawapa kipigo kamili - Polisi wakaenda kumkamata.
    • Tunapaswa kuelewa kwamba Polisi wana mpango wa kuwaibia CCM kura kwa hiyo wanamkata Zitto ili ACT wazalendo wasije wakawatoa vichwa wakiiba kura?
  • Kuna huyu kada wa UVCCM Kagera huko ametoa matamko ya ajabu sana kuhusu kuwadhuru watu wa upinzani, hatujasikia hata wakimkanya
    • Haya matamko ni mabaya yakitolewa na wapinzani peke yao watu wa CCM wao ni halali kuyatoa?
Karibu nafikia mkataa kwamba inabidi uwe na akili ya mwendawazimu kuwaelewa polisi wa Tanzania!
 
Kuna wakati huwa najiuliza namna akili ya Polisi wetu wa Tanzania inavyofanya kazi nashindwa kabisa kuwaelewa.
  • Siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Raisi Samia kichwa chake halali yangu; nitakamatwa nihojiwe?
    • Kwa nini unikamate kwa kutoa kauli yenye kuonyesha nachukia kitu kiovu na natoa tamko ili kisitokee?
  • Zitto amesema Polisi wakikamatwa na kura za wizi ACT wazalendo watawadel kikamili - Polisi wakaenda kumkamata.
    • Tunapaswa kuelewa kwamba Polisi wanampango wa kuwaibia CCM kura kwa hiyo wanamkata Zitto ili ACT wazalendo wasije wakawatoa vichwa wakiiba kura?
  • Kuna huyu bazaza wa UVCCM Kagera huko ametoa matamko ya ajabu sana kuhusu kuwahuru watu wa upinzani, hatujasikia hata wakimkanya
    • Haya matamko ni mabya yakitolewa na wapinzani peke yao watu wa CCM wao ni halali kuyatoa?
Karibu nafikia mkataa kwamba inabidi uwe na akili ya mwendawazimu kuwaelewa polisi wa Tanzania!
Tunapenda mabadiliko ila Zitto Dalali waishi nae tu
 
Kuna wakati huwa najiuliza namna akili ya Polisi wetu wa Tanzania inavyofanya kazi nashindwa kabisa kuwaelewa.
  • Nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Raisi Samia kichwa chake halali yangu; nitakamatwa nihojiwe kwa kumtishia mtu atakaemdhuru Samia?
    • Kwa nini unikamate kwa kutoa kauli yenye kuonyesha nachukia kitu kiovu na natoa tamko ili kisitokee?
  • Zitto amesema Polisi wakikamatwa na kura za wizi ACT wazalendo watawadel kikamili - Polisi wakaenda kumkamata.
    • Tunapaswa kuelewa kwamba Polisi wanampango wa kuwaibia CCM kura kwa hiyo wanamkata Zitto ili ACT wazalendo wasije wakawatoa vichwa wakiiba kura?
  • Kuna huyu bazaza wa UVCCM Kagera huko ametoa matamko ya ajabu sana kuhusu kuwahuru watu wa upinzani, hatujasikia hata wakimkanya
    • Haya matamko ni mabya yakitolewa na wapinzani peke yao watu wa CCM wao ni halali kuyatoa?
Karibu nafikia mkataa kwamba inabidi uwe na akili ya mwendawazimu kuwaelewa polisi wa Tanzania!
Ni ubaguzi tu dhidi ya watanzania wenye itikadi tofauti. Ngoja sasa waanze kuparurana wao kwa wao sijui polisi watasimama upande upi.
 
Kuna wakati huwa najiuliza namna akili ya Polisi wetu wa Tanzania inavyofanya kazi nashindwa kabisa kuwaelewa.
  • Nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Raisi Samia kichwa chake halali yangu; nitakamatwa nihojiwe kwa kumtishia mtu atakaemdhuru Samia?
    • Kwa nini unikamate kwa kutoa kauli yenye kuonyesha nachukia kitu kiovu na natoa tamko ili kisitokee?
  • Zitto amesema Polisi wakikamatwa na kura za wizi ACT wazalendo watawapa kipigo kamili - Polisi wakaenda kumkamata.
    • Tunapaswa kuelewa kwamba Polisi wana mpango wa kuwaibia CCM kura kwa hiyo wanamkata Zitto ili ACT wazalendo wasije wakawatoa vichwa wakiiba kura?
  • Kuna huyu kada wa UVCCM Kagera huko ametoa matamko ya ajabu sana kuhusu kuwahuru watu wa upinzani, hatujasikia hata wakimkanya
    • Haya matamko ni mabaya yakitolewa na wapinzani peke yao watu wa CCM wao ni halali kuyatoa?
Karibu nafikia mkataa kwamba inabidi uwe na akili ya mwendawazimu kuwaelewa polisi wa Tanzania!
Polisi WaTanzania ni watu wasiokuwa na ueledi, badala ya kuzingatia katiba wao wanafuata maelekezo yanayopinga katiba, kimsingi ni kundi la watu wajinga
 
Paying the cost to be the boss wasnt even my most expensive purchase.
 
Unaweza kuta kauli ya Zitto ilikuwa ni ya kupanga ili baadae akamatwe na kisha kutumia ukamataji huo kama rejea kwa Chadema. Hapo walengwa ni Chadema. Zitto sio mpinzani.
Hapo kutakuwa na mambo mawili na yote uwezekano wake ni mdogo sana;

1. Zitto ni mjinga sana
2. Polisi wana akili sana
 
Kuna wakati huwa najiuliza namna akili ya Polisi wetu wa Tanzania inavyofanya kazi nashindwa kabisa kuwaelewa.
  • Nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Raisi Samia kichwa chake halali yangu; nitakamatwa nihojiwe kwa kumtishia mtu atakaemdhuru Samia?
    • Kwa nini unikamate kwa kutoa kauli yenye kuonyesha nachukia kitu kiovu na natoa tamko ili kisitokee?
  • Zitto amesema Polisi wakikamatwa na kura za wizi ACT wazalendo watawapa kipigo kamili - Polisi wakaenda kumkamata.
    • Tunapaswa kuelewa kwamba Polisi wana mpango wa kuwaibia CCM kura kwa hiyo wanamkata Zitto ili ACT wazalendo wasije wakawatoa vichwa wakiiba kura?
  • Kuna huyu kada wa UVCCM Kagera huko ametoa matamko ya ajabu sana kuhusu kuwahuru watu wa upinzani, hatujasikia hata wakimkanya
    • Haya matamko ni mabaya yakitolewa na wapinzani peke yao watu wa CCM wao ni halali kuyatoa?
Karibu nafikia mkataa kwamba inabidi uwe na akili ya mwendawazimu kuwaelewa polisi wa Tanzania!
🤣Zitto hajui kutoa hedged statements. Alitakiwa kutoa hizi kauli zote mbili kwa mpigo:
🌑 “Siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Rais Samia kichwa chake halali yangu, na
🌑 polisi tutakayemkamata na kura bandia siku ya uchaguzi ni halali yetu”.
 
Very clever!😀
 
Kwani si kunamtu alitamka kwamba,Safari hii watampiga sindano ya sumu Lissu,Je yupo wapi jamaa?Hawa watu ni wapuuzi sana
 
Polisi WaTanzania ni watu wasiokuwa na ueledi, badala ya kuzingatia katiba wao wanafuata maelekezo yanayopinga katiba, kimsingi ni kundi la watu wajinga
Bila shaka ujui kua hupo salama na mali zako kwakua polisi imetimiza wajibu wake. Tusipende sana kutukana wala kubeza kazi hiyo... kuna watu wanafikiri tukipigana na kuuana basi ndiyo mabadiliko.
 
Kuna wakati huwa najiuliza namna akili ya Polisi wetu wa Tanzania inavyofanya kazi nashindwa kabisa kuwaelewa.
  • Nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Raisi Samia kichwa chake halali yangu; nitakamatwa nihojiwe kwa kumtishia mtu atakaemdhuru Samia?
    • Kwa nini unikamate kwa kutoa kauli yenye kuonyesha nachukia kitu kiovu na natoa tamko ili kisitokee?
  • Zitto amesema Polisi wakikamatwa na kura za wizi ACT wazalendo watawapa kipigo kamili - Polisi wakaenda kumkamata.
    • Tunapaswa kuelewa kwamba Polisi wana mpango wa kuwaibia CCM kura kwa hiyo wanamkata Zitto ili ACT wazalendo wasije wakawatoa vichwa wakiiba kura?
  • Kuna huyu kada wa UVCCM Kagera huko ametoa matamko ya ajabu sana kuhusu kuwahuru watu wa upinzani, hatujasikia hata wakimkanya
    • Haya matamko ni mabaya yakitolewa na wapinzani peke yao watu wa CCM wao ni halali kuyatoa?
Karibu nafikia mkataa kwamba inabidi uwe na akili ya mwendawazimu kuwaelewa polisi wa Tanzania!
We ni mwehu hawawezi kukujibu.
 
Bila shaka ujui kua hupo salama na mali zako kwakua polisi imetimiza wajibu wake. Tusipende sana kutukana wala kubeza kazi hiyo... kuna watu wanafikiri tukipigana na kuuana basi ndiyo mabadiliko.
Hiyo sio excuse ya Polisi kujitoa akili. Na jibu lako lina kila dalili kuwa wewe ni askari polisi, tena private. Eti usalama wa mali zako. Tweneke!
 
Back
Top Bottom