Naomba niwaulize Polisi: Hivi nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Rais Samia, kichwa chake halali yangu; nitakamatwa nihojiwe?

Basi na Mimi niseme tu SIKU MTU AKIMDHURU TUNDU LISU KICHWA CHAKE NI HALALI YANGU, Tundu Lisu ni Mwenyekiti wa Chadema kama ilivyo kwa Mh. Samia Suluhu, Mwenyekiti wa CCM Taifa.
Haya ndugu Polisi karibuni
 
Hapo watakuja haraka sana, kwa sababu kwa tamko hilo unaweza kujikuta,bila kujua, unapanga kumdhuru IGP au Mkurugenzi wa TISS!
 
Umejibu swali kama umeiba marking scheme, Hapo tushajua mchokozi ni nani
 
Hiyo sio excuse ya Polisi kujitoa akili. Na jibu lako lina kila dalili kuwa wewe ni askari polisi, tena private. Eti usalama wa mali zako. Tweneke!
Pole sana katika ilo ila huo ndiyo ukweli.Polisi wangekua awawezi kutimiza wajibu wao leo hii Tanzania basi ingekua FAILED STATE.
 
Unajua, mwalimu akiwa na vipindi 40 kwa mwaka, akafunsisha vipindi 25, huwezi kamwe kusema ametimiza wajibu wake la sivyo wanafunzi wangekuwa failed class. Tafakari hilo.
 
Kwahiyo huyo mwalimu tusema kua ajafundisha au amefundisha chini ya lengo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…