Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Ah kavideo ka tamu nmekarudiarudia hii ilikua gari gani hiyo???
Maana amewakata chap kwa haraka
VW Amarok, Msweden anasema jamaa waliona magari mbele wakapisha, hilo convoy lao linatisha na hao jamaa ni wagomvi kwelikweli Ligi nao ni hatari hawataki mbele ilibidi nikanunue maji wapite bado hawakuamini
Hapo haujampita amepunguza speed kutokana gari zilizopo mbele yake tu,nahisi mbele ya safari ulikula fimbo za kutosha
rudia kuangalia mwisho ni kona madude yao yasingekata, palikuwa peupe bado
 
VW Amarok, Msweden anasema jamaa waliona magari mbele wakapisha, hilo convoy lao linatisha na hao jamaa ni wagomvi kwelikweli Ligi nao ni hatari hawataki mbele ilibidi nikanunue maji wapite bado hawakuamini

rudia kuangalia mwisho ni kona madude yao yasingekata, palikuwa peupe bado

Huyo amarok hana ujanja kwa ranger
 
Mkuu kwanini tumtoe Mazda RX 7&8
Mkuu kwanini tumtoe Mazda RX 7&8
Kwa mimi ninavoelewa ile inatumia engine ya rotary ambayo ina displacement ndogo lakini power output kubwa..
Watakuja wajuzi hapa ila nahisi
Kama hio rX8 ina 1.3 l lakini ina 230's horsepower
Sema ni gari ngumu kutunza zinahitaji matunzo kwelikweli
Sema ni gari legendary na hio engine ya rotary walitumia hapo kwa rx7 na rx8 tu
Na ndo ikaishia hapo
 
Huyo amarok hana ujanja kwa ranger
Naweza kuku-kubalia Mkuu, lkn kuingia ndani zaidi na wewe umetuletea Mada ya Subaru Forester naogopa kukushushia You Tube za Comparison kati ya hizi gari
acha Ranger tumuweke na Toyota Double cabin VIGO (sijui km ni mMalasya au Japan) hawa wanalingana Odometer 200
Amarok ana 8 speed katika Auto na 6 speed katika Manual Odometer ni 240 kuendelea
hapa lazima ujuzi wa dereva utumike sina maana katika mwendo
halafu Mjerumani barabarani katulia na kila ukiiona logo ya VW hutasogelea
1619443727132.png
1619446842533.png

turudi kwenye Subaru Forester wengine tunaona km za vijana haya madude ya kubebea majani ya ng'ombe tuachieni sisi

1619445053004.png
 
Bongo zipo zote RX7 na RX8 zikiwa stock rotary engine nyingine mpaka wanawake wanaendesha.
Umenichekesha eti zingine mpaka wanawake wanaendesha wakati wengi wao ndio wanasukuma mashine za maana sana aisee unakuta mdada ana Porsche cayyene au Bmw X 4..2.0d mbichi mbalaa na yeye mbichii utadhani ametengenezewa humo humo kwenye gari...
 
Umenichekesha eti zingine mpaka wanawake wanaendesha wakati wengi wao ndio wanasukuma mashine za maana sana aisee unakuta mdada ana Porsche cayyene au Bm X 4..2.0d mbichi mbalaa na yeye mbichii utadhani ametengenezewa humo humo kwenye gari...
Kweli kuna gari za maana wanaendesha wanawake zinawapendeza unaweza kudhani unatazama movie kumbe live.

Hizo Mazda RX 7 na RX 8 ukiagiza Japan mpaka inafika Bongo pamoja na Kodi kwa 12million unapata, Nyingi ni Manual wengi wanaogopa aina ya rotary engine iliyotumika kwenye gari hizo.
 
Back
Top Bottom