VW Amarok, Msweden anasema jamaa waliona magari mbele wakapisha, hilo convoy lao linatisha na hao jamaa ni wagomvi kwelikweli Ligi nao ni hatari hawataki mbele ilibidi nikanunue maji wapite bado hawakuaminiAh kavideo ka tamu nmekarudiarudia hii ilikua gari gani hiyo???
Maana amewakata chap kwa haraka
rudia kuangalia mwisho ni kona madude yao yasingekata, palikuwa peupe badoHapo haujampita amepunguza speed kutokana gari zilizopo mbele yake tu,nahisi mbele ya safari ulikula fimbo za kutosha
Asante Kwa kuweka sawa hii mada..ni kweli hayo Magari uliyosema ni noma Kwenye speedKuna Honda Civic Type R Ina 1.6L na 1.8L, Mazda Rx 7&8 zina 1.3L na Toyota Yaris 1.3L
VW Amarok, Msweden anasema jamaa waliona magari mbele wakapisha, hilo convoy lao linatisha na hao jamaa ni wagomvi kwelikweli Ligi nao ni hatari hawataki mbele ilibidi nikanunue maji wapite bado hawakuamini
rudia kuangalia mwisho ni kona madude yao yasingekata, palikuwa peupe bado
Mkuu kwanini tumtoe Mazda RX 7&8
Kwa mimi ninavoelewa ile inatumia engine ya rotary ambayo ina displacement ndogo lakini power output kubwa..Mkuu kwanini tumtoe Mazda RX 7&8
Naweza kuku-kubalia Mkuu, lkn kuingia ndani zaidi na wewe umetuletea Mada ya Subaru Forester naogopa kukushushia You Tube za Comparison kati ya hizi gariHuyo amarok hana ujanja kwa ranger
Uchafu mtupu zote.Labda miss tz ila sio kili time
Wrx sti chuma hicho.Imprezza naikubali wrx tu,lakini subaru legacy hatchback ndio nakubali zaidi,najua lazima utashangaa why legacy [emoji3]
Aisee mkonge ni gari isiyokimbia kabisa mkuu.Labda crown majesta,lakini hizo 3500,mark x,brevis yenyewe hamna kitu bro,kwa toyota wasumbufu ni v8 na lc mkonge
[emoji23][emoji23][emoji23] we jidanganye tu kwa kuangalia hio 260km/h.Hio chombo ina 260kph hatari just for 15m[emoji23][emoji23]
Rx7 ushaiona bongo mkuu.?Mkuu kwanini tumtoe Mazda RX 7&8
Picha linaanza Landcruiser Mkonge kufika 150kph ni ishu nyingne, mie nishawahi kuitesa Landcruiser mkonge 1HZ ya Tanesco hadi jamaa akanimind ile mbaya. Nilikuwa na ka-IST 1NZHahaha unazingua ist haina uwezo wa kufika 180kph ikatulia road lazma iweweseke tu
Kumbe mkuu succeed nayo ni chuma?
Zipo mkuu watu wanazo.Rx7 ushaiona bongo mkuu.?
Rx7 sijaziona bongo mkuu,lkn Kenya nimeiona iko swapped na 1jz-gte.Zipo mkuu watu wanazo.
Wabongo bhana Xtrail ya 2018 Tanzania hakuna harafu unakuta mchimba chumvi anasema xtrail ni uchafu tu...Hapo gari ni Vanguard,Kluger na Subaru.Hiyo Harrier na Xtrail ni uchafu!
Wabongo bhana Xtrail ya 2018 Tanzania hakuna harafu unakuta mchimba chumvi anasema xtrail ni uchafu tu...
Bongo zipo zote RX7 na RX8 zikiwa stock rotary engine nyingine mpaka wanawake wanaendesha.Rx7 sijaziona bongo mkuu,lkn Kenya nimeiona iko swapped na 1jz-gte.
Umenichekesha eti zingine mpaka wanawake wanaendesha wakati wengi wao ndio wanasukuma mashine za maana sana aisee unakuta mdada ana Porsche cayyene au Bmw X 4..2.0d mbichi mbalaa na yeye mbichii utadhani ametengenezewa humo humo kwenye gari...Bongo zipo zote RX7 na RX8 zikiwa stock rotary engine nyingine mpaka wanawake wanaendesha.
Kweli kuna gari za maana wanaendesha wanawake zinawapendeza unaweza kudhani unatazama movie kumbe live.Umenichekesha eti zingine mpaka wanawake wanaendesha wakati wengi wao ndio wanasukuma mashine za maana sana aisee unakuta mdada ana Porsche cayyene au Bm X 4..2.0d mbichi mbalaa na yeye mbichii utadhani ametengenezewa humo humo kwenye gari...