Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Upo sahihi hiyo Rx 8 ni nzuri zipo auto pia...na pisi ikisukuma mashine kali inakua na confidence hatari...
 
Upo sahihi hiyo Rx 8 ni nzuri zipo auto pia...na pisi ikisukuma mashine kali inakua na confidence hatari...
Kuna jamaa yangu walienda semina ya Oil and Gas, pale Hyatt Regency jirani yake kwenye semina alikuwa mdada akaanzisha story wakawa marafiki kwa muda.

Wakati wa kutoka akaona bibie anaingia kwenye Ford Everest new model na siti bado zina karatasi. Anasema ikabidi azuge kidogo baadae akawashe Toyota Brevis yake. Tangu hapo huwa anasema ipo siku atavuta chuma Cha maana ni Bora kiwe kinatembea weekend na siku za matukio maalumu ila heshima iwepo.
 

Acha an gari muhimu sana wenzako wanapak mandinga makali wewe una ka ist hadi aibu[emoji23][emoji23]
 
Leo jamaangu mmoja mzambia kavuta range rover sport katoa msisitizo kuwa huko Zambia ataitumia siku za week end tuu jumaa,jumamosi na jumapili...hizo siku za kwanza ataendelea na chuma chakavu chake nimecheka sana...
 
Rx-7 unaifahamu lkn mkuu?Yaani Rx-7 iingie bongo kwa tsh.12mil?

Ingia be forward sa hivi rx-7 ya bei ndogo ni $20,000 hio ni CIF tu na zinaenda mpk $50,000 huko(CIF),njoo ujumlishe na kodi ya TRA utaniambia total ni ngapi.

Usichanganye hio takataka ya rx-8 kuifananisha na RX-7(hii ni legendary).
 
Jumanne au jumatano nikiichukua trip ya mwanza then mwanzw dodoma.. niione πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Mkuu hii gari ni ndege ya chini unaweza kuwa 160 ukazani uko speed 60 imetulia sana ukikanyaga inaitika hapo hapo hata maloli yakiwa 10 unayakata
 
RX-7 zipo hapa Tanzania mkuu kwenye ambayo ni Bei nafuu ni RX-8 ambazo nyingi hapa Bongo.

RX-7 naifahamu kuna baharia alivuta 2015 baada ya kutoka Ulaya na ipo mpaka leo ingawa kwa mwaka inatembea akiwepo Bongo.
Sasa jomba unasemaje rx-7 kuifikisha bongo ni Tsh. mil 12?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…