Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Upo sahihi hiyo Rx 8 ni nzuri zipo auto pia...na pisi ikisukuma mashine kali inakua na confidence hatari...Kweli kuna gari za maana wanaendesha wanawake zinawapendeza unaweza kudhani unatazama movie kumbe live.
Hizo Mazda RX 7 na RX 8 ukiagiza Japan mpaka inafika Bongo pamoja na Kodi kwa 12million unapata, Nyingi ni Manual wengi wanaogopa aina ya rotary engine iliyotumika kwenye gari hizo.