Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Kisela sela naikubali cross sports japo iko chiniYah bei zake zimepoa halafu ni model ya nyuma so itakuwa haiumizi aana huko Sokoni
Unaona tuiweke ligi na gari ganiBabu xt unaishindanisha na ist!!
Kama hujawahi kutumia hizi gari mkuu nyamaza.Hamna cha nondo wala nini... Hamna gari hapo mkuu! Jitahidi ufanye test drive kwanza ujioner mwenyewe
Hapo ndio subaru zinapokera! Hata ile SH5 siti yake ipo chini yani kama umedumbukia chiniKisela sela naikubali cross sports japo iko chini
subaru zipi zenye 6 cylinder ?Yah bei zake zimepoa halafu ni model ya nyuma so itakuwa haiumizi aana huko Sokoni
kuna maajabu gani kwenye subaru mkuu ? au hizo CC 1990 πππKama hujawahi kutumia hizi gari mkuu nyamaza.
kama umekaa kwenye jamvi eeh ππππHapo ndio subaru zinapokera! Hata ile SH5 siti yake ipo chini yani kama umedumbukia chini
Yani humo humo mzee halafu inaitwa SUV unajiuliza hawa Fuji Heavy Industries walikuwa wanafikiria kwa kutumia kichwa kipi?kama umekaa kwenye jamvi eeh ππππ
kuna maajabu gani kwenye subaru mkuu ? au hizo CC 1990 πππ
Sasa ina kitu gani cha maana mkuu... Ile gari sio kuitumia tu ila ipo na imepaki kwenye hapa na sina muda nayo ukitaka njoo uuziwe maana watu hatuna muda nayo. Naifahamu vizuri sana! Acha sound itetee hapa tuone ina nini zaidi ya AWD π€£π€£π€£π€£Kama hujawahi kutumia hizi gari mkuu nyamaza.
Hamna gari mule mkuu! ππππ fika 120 sasa uone kinavyopepeakama umekaa kwenye jamvi eeh ππππ
Hata kwa macho tu ile ukiangalia, unajua hamna kitu pale.. ila vijana wanazikimbilia na kuvimba sana kwasabau pia ya kiwango cha pesa ambacho kipoHamna gari mule mkuu! ππππ fika 120 sasa uone kinavyopepea
kwa AWD naona inakimbiza sana, nimepitia mijadala mingi wanaisifia zaidi kwenye AWDSasa ina kitu gani cha maana mkuu... Ile gari sio kuitumia tu ila ipo na imepaki kwenye hapa na sina muda nayo ukitaka njoo uuziwe maana watu hatuna muda nayo. Naifahamu vizuri sana! Acha sound itetee hapa tuone ina nini zaidi ya AWD π€£π€£π€£π€£
gari ikifika 120 ikawa nyepesi sana, haifai hiyoHamna gari mule mkuu! ππππ fika 120 sasa uone kinavyopepea
Wasiwasi wangu wa hizo gari, bado upo tu nashindwa kuziamini πππππ
Hahahah EJ20 Naturally Aspirated haitakuwa na shida shidaWasiwasi wangu wa hizo gari, bado upo tu nashindwa kuziamini πππππ
Waswahili tuna roho mbaya Sana,hivi ni kweli unaijua Subaru forester au basi Tu umeona ni Bora ufanye comedyHamna cha nondo wala nini... Hamna gari hapo mkuu! Jitahidi ufanye test drive kwanza ujioner mwenyewe
Kina Brevis wanakuwa wanaisomesha namba, dharau [emoji1][emoji1][emoji1].. road unakuwa mpole kweli kweli.. labda uwavimbie kina IST
Hamna bana ya JDM kuanzia 2008-2011 ina 148HP sema haina magonjwa magonjwa! Hii inatosha sana kusumbua hapo lami mzee.
Mie kwa 143HP nanyanyasa hivyo itakuwa hio Subaru!
ina nini cha ajabu ? Sub zipo zenye cc 1500, 1990 zipo 2500 chache, na za 3000 chache zaidi na zipo turbo na non turbo hapa bongo zimejaa sana 1500 na 1990.. naona maajabu yake yapo kwenye AWD.. ila sio kasi , kama kasi atapambana na kina Brevis, Crown majesta au Athlet size zake kabisa hizo ambazo atanyooshwa vizuri sanaWaswahili tuna roho mbaya Sana,hivi ni kweli unaijua Subaru forester au basi Tu umeona ni Bora ufanye comedy