Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

kama umekaa kwenye jamvi eeh 😄😄😄😄
Yani humo humo mzee halafu inaitwa SUV unajiuliza hawa Fuji Heavy Industries walikuwa wanafikiria kwa kutumia kichwa kipi?

SUV gani ambayo huwezi hata kuweka kishoka? Kwa nje unaonekana bega tu na kichwa🤓🤓🤓😝😝😝nina jamaa yangu anasema hio gari hata siipendi mzee nimeendesha imprezza tu imenichosha ipo chini mno!
 
kuna maajabu gani kwenye subaru mkuu ? au hizo CC 1990 😄😄😄
7503CD5A-3D32-4F03-969A-B088B5031A37.jpeg
 
Sasa ina kitu gani cha maana mkuu... Ile gari sio kuitumia tu ila ipo na imepaki kwenye hapa na sina muda nayo ukitaka njoo uuziwe maana watu hatuna muda nayo. Naifahamu vizuri sana! Acha sound itetee hapa tuone ina nini zaidi ya AWD 🤣🤣🤣🤣
kwa AWD naona inakimbiza sana, nimepitia mijadala mingi wanaisifia zaidi kwenye AWD
 
Hamna bana ya JDM kuanzia 2008-2011 ina 148HP sema haina magonjwa magonjwa! Hii inatosha sana kusumbua hapo lami mzee.

Mie kwa 143HP nanyanyasa hivyo itakuwa hio Subaru!

Soon naanza kushinda mikoani gari ambayo road ipo vzr inakimbia kwa bajeti ya 20-25m naweza pata gari gani mtaalam
 
Waswahili tuna roho mbaya Sana,hivi ni kweli unaijua Subaru forester au basi Tu umeona ni Bora ufanye comedy
ina nini cha ajabu ? Sub zipo zenye cc 1500, 1990 zipo 2500 chache, na za 3000 chache zaidi na zipo turbo na non turbo hapa bongo zimejaa sana 1500 na 1990.. naona maajabu yake yapo kwenye AWD.. ila sio kasi , kama kasi atapambana na kina Brevis, Crown majesta au Athlet size zake kabisa hizo ambazo atanyooshwa vizuri sana
 
Back
Top Bottom