Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Wakuu mimi naomba kuelewa utofauti wa Gari zifuatazo barabarani ikiwa zote Zina engine Aina moja 2AZ 2400Cc...Kluger, Harrier na Vanguard. πŸ™
angali uzito wa gari , kimo cha gari , transmision system ya gari husika n.k
 
Jamaa anasema atakuja na Subaru yake twin turbo.. anichakaze πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna dogo mmoja anaitwa Frisby Jason wa chuga! Ana Mark X ya 2009 ile ina 2GR kifuani hamna kima anasogelea huo umeme πŸ€“πŸ€“πŸ€“ jamaa ni tuner wa magari ila anakwambia ile ndio Daily Driven kwa sasa!

Namuonea huruma huyo mwenye subaru ambayo top spec ni 280HP
 

Chombo yako inasumbua highway huko 😝😝😝 3S anapigishwa mswaki sema nahisi ni XT hio!
Mbeleni huyo Subaru itakuwa alikatwa tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. hizo naajabu yake ni AWD ningekuwa sina haraka nisingechukua hiyo gari
 
Subaru ni kama mashabiki wa mpira fujo nyingi, ile siku tupo daraja la kijazi jamaa anapiga mahoni kishenzi kumbe kaishafika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. kelele sana hao jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…