Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
utopolo...ule 😂😂Hapo angalia transmition speed sasa... Hilo harrier lina gear 4 tu... Sasa si kama yanga tu hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utopolo...ule 😂😂Hapo angalia transmition speed sasa... Hilo harrier lina gear 4 tu... Sasa si kama yanga tu hilo
Daah dashbaord za mjerumani hazinaga siri.Shida ni hapo kwenye “defective!“ pakiendelea kuwa defective pata defect account yako ya bank [emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Umekuja mzee mwenyewe 😀Mkonge hatoboi 160KPH akiwa 5600rpm hio ilikuwa zamani! Labda 100 Series ya 1HD-FTE hapo ndio mwendo upo ama 1VD-FTV ilioko kwenye 200 Series ile V8!
ila subaru kimeo mkuu. Mie nina Crown na nimenunua Subaru.. na subaru kwasababu ya AWD.. kwasababu njia ya kwenda ukweni ni tope kama lote[emoji23][emoji23]
Kifaru kile,popote kanyaga twende,halafu kipindi kiko bomba nilikua na ujenzi mabondeni,gari azifiki kipindi cha mvua kipindi iko,nikaamua nikitumie kubebea material,watu walikua wanashangaa ile gari inafikaje kule 😀ila subaru kimeo mkuu. Mie nina Crown na nimenunua Subaru.. na subaru kwasababu ya AWD.. kwasababu njia ya kwenda ukweni ni tope kama lote😂😂
Kuna jamaa kaitia sokoni,miezi sasa watu kama awaioni vile 😀Fuga moto mwingine ule..
Hapo ndio wamekaza tako?
Chombo yako inasumbua highway huko [emoji13][emoji13][emoji13] 3S anapigishwa mswaki sema nahisi ni XT hio!
Gari tamu sana naitamani kweli kweliWakuu mmeamkaje?
Binafsi naipenda sana subaru nikiionaga mtu road ana drive huwa naona wivu sana. Ndoto zangu ni kumiliki subaru forester XT hii gari naipenda sana. Najipanga ni import hio mashine from Japan.
Wataalam naombeni nondo kuhusu hio gari kwa anaejua shida yake na sifa za hio gari kwa ujumla. Sijataka kwenda google kwasababu wazungu ndo wana discus ila nimeleta humu Jf coz najua kuna watu wana miliki hio chombo.
View attachment 1762186
View attachment 1762187
View attachment 1762188
View attachment 1762189
Hio gari ina 1990cc tu.
Wanakuambia hilo ni gari la kuliFUGA sio kuliuza.
Kuna Shemeji pale Moro alinunua cc3500 alitaka avimbe nayo mjini, imebidi abadilishane na jamaa ampe rav4 kiliWanakuambia hilo ni gari la kuliFUGA sio kuliuza.
Ni 350 au 250? Analiuzaje?
Fuga 350 ziko nyingi sana Dodoma - almost yeboyebo... kutokana na nature ya barabara za kule haitumii mafuta kabisa, mimi nikiendaga nalo huwa linanipa 9km/l kwa route za Dodoma mjini kati.Kuna Shemeji pale Moro alinunua cc3500 alitaka avimbe nayo mjini, imebidi abadilishane na jamaa ampe rav4 kili
AWD ni All wheel (always wheel) Drive kwa hiyo muda wote zinatumia miguu yote kutoa nguvu kwenye Diff zake za mbele na nyumaTofauti ya AWD na 4WD ni nini? Hapa sielewagi
Nani anunue matatizo hayo 🤓🤓🤓 tunaokimbilia Toyota tupakeni mavi tu ila ikifika hii moment unataka fast cash Nissan yako itakuozea hapo! Nina Engine ya Nissan QG18 inanyewa na kunguru tu toka nilipoanza kutafuta mteja mambo hayaeleweki
inawezekana lkn umri utakuwa chini ya 25yrsWanaomiliki hizo ndinga wanavimba sana[emoji119]
AWD ni All wheel (always wheel) Drive kwa hiyo muda wote zinatumia miguu yote kutoa nguvu kwenye Diff zake za mbele na nyuma
4WD au 4x4 ni 2 wheel drive ukaongeza au kutoa 2 wheel Drive ina maana kama linavuta kwa mbele unaongeza na miguu ya nyuma kuliendesha, au km Diff ni ya nyuma unaongeza na miguu ya mbele ili upate nguvu
View attachment 1763748
View attachment 1763751 View attachment 1763753
Mimi mdau wa toyota babu 😅Nani anunue matatizo hayo 🤓🤓🤓 tunaokimbilia Toyota tupakeni mavi tu ila ikifika hii moment unataka fast cash Nissan yako itakuozea hapo! Nina Engine ya Nissan QG18 inanyewa na kunguru tu toka nilipoanza kutafuta mteja mambo hayaeleweki
Noma mzee hiyo kituWanakuambia hilo ni gari la kuliFUGA sio kuliuza.
Ni 350 au 250? Analiuzaje?
Umeona uje uniseme mkuu 🤣🤣🤣🤣Daah dashbaord za mjerumani hazinaga siri.
Juzi niko Dodoma nabadilisha tairi akaja jamaa na BMW hatchback hizi, wana wameosha wamemaliza gari haitaki kuwaka. Starter haipigi kabisa!
Wakaniomba nimboostie dadeki hata betri haijulikani ilipo kuna terminal tu ya positive na ground kwenye bonnet wanasema betri ipo nyuma. Sio kesi wamepiga jumper chuma kimya kama haiwaoni vile wanavyolihangaikia.
Nikajisemea asharinga huyu anataka fundi wake aje amtie kwenye computer amtongoze ndo atasema shida yake nini.
Heshimu sana mtu anayeendesha mjerumani as a daily driver.
Aaah heshima yako mkuu na appreciate moyo na mfuko ulionao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona uje uniseme mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Subaru ni kama mashabiki wa mpira fujo nyingi, ile siku tupo daraja la kijazi jamaa anapiga mahoni kishenzi kumbe kaishafika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. kelele sana hao jamaa