Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Shida ni hapo kwenye “defective!“ pakiendelea kuwa defective pata defect account yako ya bank [emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Daah dashbaord za mjerumani hazinaga siri.

Juzi niko Dodoma nabadilisha tairi akaja jamaa na BMW hatchback hizi, wana wameosha wamemaliza gari haitaki kuwaka. Starter haipigi kabisa!

Wakaniomba nimboostie dadeki hata betri haijulikani ilipo kuna terminal tu ya positive na ground kwenye bonnet wanasema betri ipo nyuma. Sio kesi wamepiga jumper chuma kimya kama haiwaoni vile wanavyolihangaikia.

Nikajisemea asharinga huyu anataka fundi wake aje amtie kwenye computer amtongoze ndo atasema shida yake nini.

Heshimu sana mtu anayeendesha mjerumani as a daily driver.
 
ila subaru kimeo mkuu. Mie nina Crown na nimenunua Subaru.. na subaru kwasababu ya AWD.. kwasababu njia ya kwenda ukweni ni tope kama lote😂😂
Kifaru kile,popote kanyaga twende,halafu kipindi kiko bomba nilikua na ujenzi mabondeni,gari azifiki kipindi cha mvua kipindi iko,nikaamua nikitumie kubebea material,watu walikua wanashangaa ile gari inafikaje kule 😀
 
Fuga moto mwingine ule..
Kuna jamaa kaitia sokoni,miezi sasa watu kama awaioni vile 😀

Screenshot_20210425-114426_Facebook.jpg
 


Chombo yako inasumbua highway huko [emoji13][emoji13][emoji13] 3S anapigishwa mswaki sema nahisi ni XT hio!
Hapo ndio wamekaza tako?

Kwa picha hii mtu anakuja eti analinganisha moto huo na 2GR au Majesta au Fuga eti mbabe wake mkonge tu...

Mzee sali sana usikutane na wahuni wakiwa wamekaa kwenye usukani wa vyombo tajwa ukawaletea dharau... Hutapenda matokeo yake.
 
Wakuu mmeamkaje?

Binafsi naipenda sana subaru nikiionaga mtu road ana drive huwa naona wivu sana. Ndoto zangu ni kumiliki subaru forester XT hii gari naipenda sana. Najipanga ni import hio mashine from Japan.

Wataalam naombeni nondo kuhusu hio gari kwa anaejua shida yake na sifa za hio gari kwa ujumla. Sijataka kwenda google kwasababu wazungu ndo wana discus ila nimeleta humu Jf coz najua kuna watu wana miliki hio chombo.

View attachment 1762186
View attachment 1762187
View attachment 1762188
View attachment 1762189

Hio gari ina 1990cc tu.
Gari tamu sana naitamani kweli kweli
 
Kuna Shemeji pale Moro alinunua cc3500 alitaka avimbe nayo mjini, imebidi abadilishane na jamaa ampe rav4 kili
Fuga 350 ziko nyingi sana Dodoma - almost yeboyebo... kutokana na nature ya barabara za kule haitumii mafuta kabisa, mimi nikiendaga nalo huwa linanipa 9km/l kwa route za Dodoma mjini kati.

Barabara za Morogoro ziko very slow na lots of traffic, sishangai kama ilimpiga 6km/l akaona cha kufia nini?!
 
Tofauti ya AWD na 4WD ni nini? Hapa sielewagi
AWD ni All wheel (always wheel) Drive kwa hiyo muda wote zinatumia miguu yote kutoa nguvu kwenye Diff zake za mbele na nyuma
4WD au 4x4 ni 2 wheel drive ukaongeza au kutoa 2 wheel Drive ina maana kama linavuta kwa mbele unaongeza na miguu ya nyuma kuliendesha, au km Diff ni ya nyuma unaongeza na miguu ya mbele ili upate nguvu
1619347781236.png

1619347998589.png
1619348099064.png
 
Kuna jamaa kaitia sokoni,miezi sasa watu kama awaioni vile 😀

View attachment 1763643
Nani anunue matatizo hayo 🤓🤓🤓 tunaokimbilia Toyota tupakeni mavi tu ila ikifika hii moment unataka fast cash Nissan yako itakuozea hapo! Nina Engine ya Nissan QG18 inanyewa na kunguru tu toka nilipoanza kutafuta mteja mambo hayaeleweki
 
Wanaomiliki hizo ndinga wanavimba sana[emoji119]
inawezekana lkn umri utakuwa chini ya 25yrs
mm siipendi naona km ina kelele na mbio za mijini mara kwa mara
km una familia au wazee wa familia ukiiona kwenye matukio lazima dereva awe kijana na kuomba lift labda gari zote ziishe, kwa hiyo tunaachieni wenye haraka hiyo Forester
 
Daah dashbaord za mjerumani hazinaga siri.

Juzi niko Dodoma nabadilisha tairi akaja jamaa na BMW hatchback hizi, wana wameosha wamemaliza gari haitaki kuwaka. Starter haipigi kabisa!

Wakaniomba nimboostie dadeki hata betri haijulikani ilipo kuna terminal tu ya positive na ground kwenye bonnet wanasema betri ipo nyuma. Sio kesi wamepiga jumper chuma kimya kama haiwaoni vile wanavyolihangaikia.

Nikajisemea asharinga huyu anataka fundi wake aje amtie kwenye computer amtongoze ndo atasema shida yake nini.

Heshimu sana mtu anayeendesha mjerumani as a daily driver.
Umeona uje uniseme mkuu 🤣🤣🤣🤣
 
Subaru ni kama mashabiki wa mpira fujo nyingi, ile siku tupo daraja la kijazi jamaa anapiga mahoni kishenzi kumbe kaishafika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. kelele sana hao jamaa

Nadhani tatizo lipo kwa wanunuaji na watafsiri wa Subaru. Wote wanafikiri watu wanataka Subaru kwa sababu ya mambio. Subaru forester na hata outback ni gari nzuri sana hasa kwa barabara zetu. Imara na AWD system inafaa kwenye mazingira yetu. Kwa sisi ambao sio vijana (au hatuna ujana) hatuna sababu ya kusifia gari au kuiponda kwa sababu ya HP. HP ya non turbo subaru forester inatosha sana kwa matumizi ya kila siku. HP ya XT ni zaidi ya non-turbo.
Aliyesema forester ikifika 120kph inapepea ni muongo wa kutupwa. Nimeemdesha impreza ya mwaka 2008 (1500cc) na haijawahi kufanya hiki kitu. It just felt a little underpowered kwa sababu ya tabia ya CVT (but haikuwa underpowered). Unaendesha 140kph imetulia tu na nashangaa anaefananisha na IST.
 
Back
Top Bottom