Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Hana hoja tena huyo, kwisha habari yake πππππ..Safi. msalimie jafo afisin apo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana hoja tena huyo, kwisha habari yake πππππ..Safi. msalimie jafo afisin apo
angali uzito wa gari , kimo cha gari , transmision system ya gari husika n.kWakuu mimi naomba kuelewa utofauti wa Gari zifuatazo barabarani ikiwa zote Zina engine Aina moja 2AZ 2400Cc...Kluger, Harrier na Vanguard. π
Achana na habari ya wese, umeishakuwa mtu mzima wewe [emoji3][emoji3][emoji3]. Hiyo utawachakaza sana kina Subaru hadi waite maji togwaa
Sure mkuu,binafsi fuga naiweka pa1 na brevis na mark x π,dugu 1Fuga kumuweka ligi na Brevis ni sawa na kuitukana tusi Fuga tena la nguoni mkuu πππ
Fuga moto mwingine ule..Sure mkuu,binafsi fuga naiweka pa1 na brevis na mark x π,dugu 1
Fuga moto mwingine ule..
ila subaru kimeo mkuu. Mie nina Crown na nimenunua Subaru.. na subaru kwasababu ya AWD.. kwasababu njia ya kwenda ukweni ni tope kama loteππI know bro,ila ukija kwenye resale hata crown iko juu
Za kiboya sana af zinakunywa zutu kuliko ISTHizi imprezza zilizojaa bongo hivi karibuni uwa naziona kama ist zilizochangamka tu π
Polo ndio unyama mzee babaWakuu VW hio kuna polo na golf ipi kaliView attachment 1763349
View attachment 1763350
View attachment 1763351
View attachment 1763352
View attachment 1763361
Shida ni hapo kwenye βdefective!β pakiendelea kuwa defective pata defect account yako ya bank π€©π€©π€©Wakuu VW hio kuna polo na golf ipi kaliView attachment 1763349
View attachment 1763350
View attachment 1763351
View attachment 1763352
View attachment 1763361
mala mia achukue Vanguard
Nacho barabarani sio rafiki kwa mwendo... Magar ya wazee yaleMiss tz ina muundo mzuri kuliko kill time
π€£π€£π€£Shida ni hapo kwenye βdefective!β pakiendelea kuwa defective pata defect account yako ya bank π€©π€©π€©
Braza unataka kummaliza jamaa! Huo moto hata BMW M Series hasogelei π€π€π€ atasoma logo ya ATHLETE tuukinyanyua unitag, tuje tuweke ligi mkuu, na mie nitakuja na Crown Athlete yenye 2GR, CC 3500 ππ
Jamaa anasema atakuja na Subaru yake twin turbo.. anichakaze ππππBraza unataka kummaliza jamaa! Huo moto hata BMW M Series hasogelei π€π€π€ atasoma logo ya ATHLETE tu
Mkonge hatoboi 160KPH akiwa 5600rpm hio ilikuwa zamani! Labda 100 Series ya 1HD-FTE hapo ndio mwendo upo ama 1VD-FTV ilioko kwenye 200 Series ile V8!Labda crown majesta,lakini hizo 3500,mark x,brevis yenyewe hamna kitu bro,kwa toyota wasumbufu ni v8 na lc mkonge
Kuna dogo mmoja anaitwa Frisby Jason wa chuga! Ana Mark X ya 2009 ile ina 2GR kifuani hamna kima anasogelea huo umeme π€π€π€ jamaa ni tuner wa magari ila anakwambia ile ndio Daily Driven kwa sasa!Jamaa anasema atakuja na Subaru yake twin turbo.. anichakaze ππππ
Hapo angalia transmition speed sasa... Hilo harrier lina gear 4 tu... Sasa si kama yanga tu hiloWakuu mimi naomba kuelewa utofauti wa Gari zifuatazo barabarani ikiwa zote Zina engine Aina moja 2AZ 2400Cc...Kluger, Harrier na Vanguard. π
Chombo yako inasumbua highway huko πππ 3S anapigishwa mswaki sema nahisi ni XT hio!
Subaru ni kama mashabiki wa mpira fujo nyingi, ile siku tupo daraja la kijazi jamaa anapiga mahoni kishenzi kumbe kaishafika ππππ.. kelele sana hao jamaaKuna dogo mmoja anaitwa Frisby Jason wa chuga! Ana Mark X ya 2009 ile ina 2GR kifuani hamna kima anasogelea huo umeme π€π€π€ jamaa ni tuner wa magari ila anakwambia ile ndio Daily Driven kwa sasa!
Namuonea huruma huyo mwenye subaru ambayo top spec ni 280HP