moondampwani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 535
- 169
Wakuu mmeamkaje?
Binafsi naipenda sana subaru nikiionaga mtu road ana drive huwa naona wivu sana. Ndoto zangu ni kumiliki subaru forester XT hii gari naipenda sana. Najipanga ni import hio mashine from Japan.
Wataalam naombeni nondo kuhusu hio gari kwa anaejua shida yake na sifa za hio gari kwa ujumla. Sijataka kwenda google kwasababu wazungu ndo wana discus ila nimeleta humu Jf coz najua kuna watu wana miliki hio chombo.
View attachment 1762186
View attachment 1762187
View attachment 1762188
View attachment 1762189
Hio gari ina 1990cc tu.
Mimi ninayo ya cc 2456 +turbo charged speed 240 ph