Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Pokea radhi yangu mkuu, mengine achana nayo huyawezi.......Recently Kuna kitu hakipo sawa Kwa Hawa machawa waandamizi wa Samia...
Imekuwaje mmekuwa Walpole ghafla? Ukiangalia chawa mwingine Tlatlah"Gentleman ๐ "aliyekuwa anaandika madudu,Sasa hivi nae kawa mpole kupita kiasi. Ana vicoment vifupi kama "ok" "sawa"
Nini kimewapata? Alafu hii hali imeanza kuwakuta baada ya kujiuzuru kwa Makamu na kisha akafukuzwa uanachama.
Hapana,Pokea radhi yangu mkuu, mengine achana nayo huyawezi.......
๐คฃ๐คฃ๐คฃPumbavu,
Hongera kwa kujitambua...
Wewe muuaji na samuya wako hampaswi kusamehewa. Tupeni miili ya wapendwa wetu tukazike1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.๐๐
2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70
3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera.
Siijui kesho, Wala wahusika wa kesho......natubu.
Siijui Wala kuikumbuka faida yoyote ya matusi, ujinga tu maana mengi yao yamemrudia tu mama yangu mpendwa๐ช๐ช
Sijakamilika; pengine ninayetukanana nae ndo anayeshikia sehemu ya ukamilifu wangu siku zijazo
Wanaofaidika na siasa wanachat kwa vicheko baada ya kutoka kuraruana mahakamani.๐ค๐ค๐ค
Tafadhali nisameheni!!
Nimeomba radhi matusi, hayo mengine ni Yako na siyajui....... endelea kujifurahisha nayo.Wewe muuaji na samuya wako hampaswi kusamehewa. Tupeni miili ya wapendwa wetu tukazike
Nasikia chadema wanataka wakufukuze๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃSiku ya mwisho kila goti litapigwa, pole kwa kuugua sana
Pole kwa stressKuna mshenz mwenzako aliitwa Lucha..simuoni huku..vp fungu limepelekwa pengine nn?
Itakua akina wegesa wanekukwaza sana1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.๐๐
2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70
3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera.
Siijui kesho, Wala wahusika wa kesho......natubu.
Siijui Wala kuikumbuka faida yoyote ya matusi, ujinga tu maana mengi yao yamemrudia tu mama yangu mpendwa๐ช๐ช
Sijakamilika; pengine ninayetukanana nae ndo anayeshikia sehemu ya ukamilifu wangu siku zijazo
Wanaofaidika na siasa wanachat kwa vicheko baada ya kutoka kuraruana mahakamani.๐ค๐ค๐ค
Tafadhali nisameheni!!
Siwashangai, ndo akili zenu zilipofikiaLumumba buku7fc huwezi kustafu mmezoea vya kunyonga