njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kwa kushika nafasi ya pili teams za kukutana nazo zilizotop groups ni Orlando pirates, Ali Itihadi ya Libya au Mazembe, mimi hapo naomba tukutane na Walibya haswa ukichukulia mechi tunaanzia nyumbani.
Its been a long time Simba kufika nusu fainali, kuna kizazi hakijawahi shuhudia kabisa1974 kina Mambosasa walifika nusu fainali ya champions league wakatolewa na Mehal al kubra ya Egypt.
1993 kina Masatu, Mwameja walifika fainali ya shirikisho wakapoteza Dar es salaam, kazeni kina Manula fikeni hata nusu ndugu zangu.