Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Job,Mwamnyeto,Yasini,Faridi,Feitoto,Lile litimu lenu tuhesabie wazawa wanaoanza ni wangapi
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Job,Mwamnyeto,Yasini,Faridi,Feitoto,Lile litimu lenu tuhesabie wazawa wanaoanza ni wangapi
Mayele niwawapi?Timu inabebwa na wachezaji wa kigeni, wazawa wa kuhesabu [emoji16]
yasin na farid wanacheza namba moja
Hawa ni wababe wa Simba ila ngoja tusubiri.Mazembe watahusika
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unamwomba nani akupangie al ahly tripoly
mayele?yakuba?ntibazonkiza?diara?djuma shabani?bangara?ushindi?moloko?aucho?yani hadi aibuTimu inabebwa na wachezaji wa kigeni, wazawa wa kuhesabu 😁
mayele?yakuba?ntibazonkiza?diara?djuma shabani?bangara?ushindi?moloko?aucho?yani hadi aibu
Ndio maana hatuna timu nzuri ya taifa maana wageni wanabeba mno vilabu vyetuTimu inabebwa na wachezaji wa kigeni, wazawa wa kuhesabu 😁
Ndio maana hatuna timu nzuri ya taifa maana wageni wanabeba mno vilabu vyetu
Sio yangaKwanini sio Mazembe? Hao top wote wanamtamani Simba.