njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Mazembe watahusika
Lile litimu lenu tuhesabie wazawa wanaoanza ni wangapiTimu inabebwa na wachezaji wa kigeni, wazawa wa kuhesabu 😁
He mshahamia huko tena? Mapokezi bado yapo msivunje kamati, show show inaendeleaTimu inabebwa na wachezaji wa kigeni, wazawa wa kuhesabu 😁
Waache wajichekeshe mkuu, wana kipa la kisukuma linaitwa Johora... hawa jamaa sijui wa wapi aisee kwa sasa Africa ina teams 16 bora zilizobaki ..8 klabu bingwa..8 shirikisho halafu ikija kutoka list ya teams 20 bora Africa kuna mijitu inashupaza shingolile litimu lenu tuhesabie wazawa wanaoanza ni wangapi
Sema The Tanzanian giants kuwa na heshima dogo, halafu chama atacheza msijisahaulisheKwanini sio mazembe? Hao top wote wanamtamani Simba.
Wanga African club inawaumaTimu inabebwa na wachezaji wa kigeni, wazawa wa kuhesabu 😁
Kamati yao ya mapokezi iko busy kweli kwa sasa wanasikilizia draw ya robo fainali wajue safari hii wanaenda airport kuwapokea kina naniWanga African club inawauma
Ndivyo ilivyo hata Ulaya na kwingineko. Akina Man City, Liverpool, Tottenham, Madrid, PSG n.k. usione wanawika, ni wachezaji wa kigeni tu ndiyo wanatamba. Ndiyo biashara ya mpira ilivyo baba.Timu inabebwa na wachezaji wa kigeni, wazawa wa kuhesabu [emoji16]
TP Mazembe hata wakiwa wabovu huwa wanatusumbua, Orlando pirates wa msimu huu wazuri sana, hapa at least hao waarabu wa tripoli.Kimahesabu hatuwezi kukutana na Al Ittihad robo fainali kwakuwa ameshika nafasi ya pili ktk kundi lake nyuma ya Orlando Pirates
Labda kama unamaanisha Al Ahly Tripoli ya Libya hawa ndio kimahesabu tunaweza kukutana nao
Yes nimewachanganya ni hao tripoli ambao nahisi ndiyo walichezaga na biashara mara ila nao ni kama wame i mprove wamewakazia wa Tunisia leo piaKimahesabu hatuwezi kukutana na Al Ittihad robo fainali kwakuwa ameshika nafasi ya pili ktk kundi lake nyuma ya Orlando Pirates
Labda kama unamaanisha Al Ahly Tripoli ya Libya hawa ndio kimahesabu tunaweza kukutana nao
Unapoteza muda wako bure tu hapo kubishana na hao watu wasojua ladha ya kuheshimiwa kimataifa.Ndivyo ilivyo hata Ulaya na kwingineko. Akina Man City, Liverpool, Tottenham, Madrid, PSG n.k. usione wanawika, ni wachezaji wa kigeni tu ndiyo wanatamba. Ndiyo biashara ya mpira ilivyo baba.
Upopwinyo ina wapiga dance wa Congo wangapi kwenye kikosi cha Kwanza?Timu inabebwa na wachezaji wa kigeni, wazawa wa kuhesabu [emoji16]