Job,Mwamnyeto,Yasini,Faridi,Feitoto,Lile litimu lenu tuhesabie wazawa wanaoanza ni wangapi
Mayele niwawapi?Timu inabebwa na wachezaji wa kigeni, wazawa wa kuhesabu [emoji16]
yasin na farid wanacheza namba moja
Hawa ni wababe wa Simba ila ngoja tusubiri.Mazembe watahusika
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Unamwomba nani akupangie al ahly tripoly
mayele?yakuba?ntibazonkiza?diara?djuma shabani?bangara?ushindi?moloko?aucho?yani hadi aibuTimu inabebwa na wachezaji wa kigeni, wazawa wa kuhesabu π
mayele?yakuba?ntibazonkiza?diara?djuma shabani?bangara?ushindi?moloko?aucho?yani hadi aibu
Ndio maana hatuna timu nzuri ya taifa maana wageni wanabeba mno vilabu vyetuTimu inabebwa na wachezaji wa kigeni, wazawa wa kuhesabu π
Ndio maana hatuna timu nzuri ya taifa maana wageni wanabeba mno vilabu vyetu
Sio yangaKwanini sio Mazembe? Hao top wote wanamtamani Simba.