Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #21
πππππhii ni ile single and not searchingMdada mrembo kama wewe unakuwaje single sasa?
Ya kwenda wapi usiku huu.. Mzee baba mwenyewe hatoki me mtoto natoka naenda wapiπππMtumie nauli
Ukubwa matatizo sanaUtoto raha sana
Wewe na miaka yako yote 40, uko kwa wazazi unafanya nini?Ya kwenda wapi usiku huu.. Mzee baba mwenyewe hatoki me mtoto natoka naenda wapiπππ
Nipe nusu saa ukiskia jiwe limerushwa mara mbili juu ya bati fungua dirisha nkupe maua yakoMe niko kwa mama Leejay hapa nasubiri nile nilale.,,Mageti yashafungwa
Hahahaha hii equation hai soviki mkuuMtumie nauli
Yaani huwezi amini.. tena hapa nimetoka kupata kifinyo cha chinichini na mamaπ₯π₯.. Asante Mungu mgeni hajaona ningeaibikaππWewe na miaka yako yote 40, uko kwa wazazi unafanya nini?
Unawanyima wazazi uhuru, siku ya leo na wao wanataka wapongezane πYaani huwezi amini.. tena hapa nimetoka kupata kifinyo cha chinichini na mamaπ₯π₯.. Asante Mungu mgeni hajaona ningeaibikaππ
Wakitaka uhuru watoke out, watuachie nyumbaππ.. kwanza wameshajizeekea uhuru wa niniUnawanyima wazazi uhuru, siku ya leo na wao wanataka wapongezane π
ππlazimaMtakuwa mko kwa hisia tu; angalieni msijichukulie sheria mkononi π
π π π acheni kuwapiga chabo, katafuteni kwenu (wewe na mumeo)Wakitaka uhuru watoke out, watuachie nyumbaππ.. kwanza wameshajizeekea uhuru wa nini
Au uje mtaa wa pili, angalau upate ata mirindaππlazima
Sawa mkuu sitawaangusha, kuna pisi kali kama 7 zilikuwa zinaomba appointment; nikurushie mmoja?
Nimekuja kushtuka nina watoto 6 nje, kila mmoja na mama yake πHaina noma Mungu akusaidie huyo binti akubambikie mimba isiyo yako
Sogea sogea mjini kidogoMkuu Nipo Koromije Labda Nizi-safirishe.
Mimi kama mimi sihamiππ,, labda wao wahame waniache kama wanaona kubanwaπ π π acheni kuwapiga chabo, katafuteni kwenu (wewe na mumeo)