Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂hii ni ile single and not searchingMdada mrembo kama wewe unakuwaje single sasa?
Ya kwenda wapi usiku huu.. Mzee baba mwenyewe hatoki me mtoto natoka naenda wapi😂😂😃Mtumie nauli
Ukubwa matatizo sanaUtoto raha sana
Wewe na miaka yako yote 40, uko kwa wazazi unafanya nini?Ya kwenda wapi usiku huu.. Mzee baba mwenyewe hatoki me mtoto natoka naenda wapi😂😂😃
Nipe nusu saa ukiskia jiwe limerushwa mara mbili juu ya bati fungua dirisha nkupe maua yakoMe niko kwa mama Leejay hapa nasubiri nile nilale.,,Mageti yashafungwa
Hahahaha hii equation hai soviki mkuuMtumie nauli
Yaani huwezi amini.. tena hapa nimetoka kupata kifinyo cha chinichini na mama😥😥.. Asante Mungu mgeni hajaona ningeaibika😃😃Wewe na miaka yako yote 40, uko kwa wazazi unafanya nini?
Unawanyima wazazi uhuru, siku ya leo na wao wanataka wapongezane 😀Yaani huwezi amini.. tena hapa nimetoka kupata kifinyo cha chinichini na mama😥😥.. Asante Mungu mgeni hajaona ningeaibika😃😃
Wakitaka uhuru watoke out, watuachie nyumba😂😃.. kwanza wameshajizeekea uhuru wa niniUnawanyima wazazi uhuru, siku ya leo na wao wanataka wapongezane 😀
😂😂lazimaMtakuwa mko kwa hisia tu; angalieni msijichukulie sheria mkononi 😀
😀 😀 😀 acheni kuwapiga chabo, katafuteni kwenu (wewe na mumeo)Wakitaka uhuru watoke out, watuachie nyumba😂😃.. kwanza wameshajizeekea uhuru wa nini
Au uje mtaa wa pili, angalau upate ata mirinda😂😂lazima
Sawa mkuu sitawaangusha, kuna pisi kali kama 7 zilikuwa zinaomba appointment; nikurushie mmoja?
Nimekuja kushtuka nina watoto 6 nje, kila mmoja na mama yake 😀Haina noma Mungu akusaidie huyo binti akubambikie mimba isiyo yako
Sogea sogea mjini kidogoMkuu Nipo Koromije Labda Nizi-safirishe.
Mimi kama mimi sihami😃😂,, labda wao wahame waniache kama wanaona kubanwa😀 😀 😀 acheni kuwapiga chabo, katafuteni kwenu (wewe na mumeo)