Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #41
Ebu nipe location nije nikutembelee hapo; wanaweza kuja kuwa wakwe zangu ๐ ๐Mimi kama mimi sihami๐๐,, labda wao wahame waniache kama wanaona kubanwa
Utawaweza hawa wazee wajeshi๐Ebu nipe location nije nikutembelee hapo; wanaweza kuja kuwa wakwe zangu ๐ ๐
Pamoja MkuuSogea sogea mjini kidogo
Watanipend sana, kwa sababu wikiendi nitakuwa nawapeleka kiwanja kuosha macho ๐Utawaweza hawa wazee wajeshi๐
Uje uwachukue tu kuanzia saizi me nicheze magemu kwa uhuru๐๐Watanipend sana, kwa sababu wikiendi nitakuwa nawapeleka kiwanja kuosha macho ๐
Ngoja nikalewe kwanza ๐Uje uwachukue tu kuanzia saizi me nicheze magemu kwa uhuru๐๐
Sawasawa kila la kheriNgoja nikalewe kwanza ๐
N wewe utulie ndani usitoke nje ukaibiwa ๐Sawasawa kila la kheri
Shaka ondoa๐N wewe utulie ndani usitoke nje ukaibiwa ๐
๐๐Sisi tunaoishi kwa wazazi mwisho wa kurudi nyumbani ni saa 1 jioni, kwahiyo mchana ndio tulienda huko unapoenda wewe usiku huu. Kutesa kwa zamu.
Ushauri: Kama unaenda Lodge, kagua mashuka vizuri maana watu wamecheza humo mchana kutwa๐
Najua umecheka nini๐๐๐๐
Nimecheka nini ?๐Najua umecheka nini๐๐
Script zangu. Kila siku na script mpyaNimecheka nini ?๐
Tena tofauti tofauti, una madini mengi sana, una experience kubwa mno.Script zangu. Kila siku na script mpya