Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
Ebu nipe location nije nikutembelee hapo; wanaweza kuja kuwa wakwe zangu 😀 😀Mimi kama mimi sihami😃😂,, labda wao wahame waniache kama wanaona kubanwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu nipe location nije nikutembelee hapo; wanaweza kuja kuwa wakwe zangu 😀 😀Mimi kama mimi sihami😃😂,, labda wao wahame waniache kama wanaona kubanwa
Utawaweza hawa wazee wajeshi😂Ebu nipe location nije nikutembelee hapo; wanaweza kuja kuwa wakwe zangu 😀 😀
Pamoja MkuuSogea sogea mjini kidogo
Watanipend sana, kwa sababu wikiendi nitakuwa nawapeleka kiwanja kuosha macho 😀Utawaweza hawa wazee wajeshi😂
Uje uwachukue tu kuanzia saizi me nicheze magemu kwa uhuru😌😌Watanipend sana, kwa sababu wikiendi nitakuwa nawapeleka kiwanja kuosha macho 😀
Ngoja nikalewe kwanza 😀Uje uwachukue tu kuanzia saizi me nicheze magemu kwa uhuru😌😌
Sawasawa kila la kheriNgoja nikalewe kwanza 😀
N wewe utulie ndani usitoke nje ukaibiwa 😀Sawasawa kila la kheri
Shaka ondoa👊N wewe utulie ndani usitoke nje ukaibiwa 😀
😂😂Sisi tunaoishi kwa wazazi mwisho wa kurudi nyumbani ni saa 1 jioni, kwahiyo mchana ndio tulienda huko unapoenda wewe usiku huu. Kutesa kwa zamu.
Ushauri: Kama unaenda Lodge, kagua mashuka vizuri maana watu wamecheza humo mchana kutwa😂
Najua umecheka nini😂😂😂😂
Nimecheka nini ?😅Najua umecheka nini😂😂
Script zangu. Kila siku na script mpyaNimecheka nini ?😅
Tena tofauti tofauti, una madini mengi sana, una experience kubwa mno.Script zangu. Kila siku na script mpya