Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 748
- 887
Salaam Wakuu.
Hivi serikali ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania haiwezi kuanza kuongeza mishahara ya watumishi kwa kigezo cha kuangalia matokeo ya utendaji ya mwajiriwa?
Maana hii kuwaongezea tu wote kwa pamoja bila hata kutazama matokeo ya utendaji inawaua nguvu hata wale watumishi ambavyo kila kukicha wanajitaidi kufanya ufanisi katika majukumu yao.
Mfano mwalimu wa somo la Hisabati shule ya sekondari X tangu aanze kazi mwaka 2010 hadi leo somo lake ndo linaloongoza kwa kupata FF ila cha kushangaza nae anataka nyongeza.
Kwa kufanya hivi nina uhakika ufanisi wa utendaji kazi utaongezeka mara dufu.
"Nyongeza iwe kutokana na matokeo ya utendaji na sio kupanda kwa gharama za maisha"
Andrew