Naomba serikali ianzishe programu wenye degrees hawajapata ajira warudi shule kwa degree ya pili,na wapewe mikopo kama kawaida

Naomba serikali ianzishe programu wenye degrees hawajapata ajira warudi shule kwa degree ya pili,na wapewe mikopo kama kawaida

Kwa vile ni mmoja wa wahanga wa kadhia hii nipo mtaani Kwa miaka 11 Sasa Toka nilipohitimu 2015 (Ba. Ed) naweza kuchangia yafuatayo
1.veta si suluhisho bali kilimo ni njia pekee ya kututoa kwenye mkwamo wa ajira tulionao Kwa Sasa
2.hakuna njia ya shortcut ya kufika lengo unalokusudia
3.tuliza akili tafuta pa kuanzia hata Kwa kuwa kibarua Kwa sharti ujiwekee lengo la kupata kiasi utakachoanza nacho kujiajiri
4.jamiiana na watu fedha/ mtaji muhimu ni watu
5.yote Kwa yote karibuni mtaani sisi wakongwe tupo Bado tumepitia mengi ukiona unazunguka na bahasha miaka mitano na hujaingia kwenye mfumo wa ajira,jiajiri na achana na moja Kwa moja na mambo ya ajira portal
 
Back
Top Bottom