Naomba Serikali iwaambie Watanzania wote kujiunga Jamii Forums ili kuokoa kizazi hiki

Naomba Serikali iwaambie Watanzania wote kujiunga Jamii Forums ili kuokoa kizazi hiki

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Nashangaa kuona watu hawatumii huu mtandao Wala sio members wakati kwa Tanzania hakuna mtandao wenye watu smart na Maarifa na uchumi Kama hapa JF.

Naomba Serikali waweke mpango kwa kila mtanzania awe na App ya JF katika simu yake .

JF Ni kisiwa Cha Maarifa the home of Great thinkers. Hapa ni zaidi ya chuo kikuu japo Kuna madanga na vijana wa hovyo wanafungua I'd mpya ili kupost pumba hawa wanatumwa na watu fulani kutoka Sehemu za Juu na ntakuja kuwataja Muda wao utakapotimia, it's just matter of time.

Serikali Viongozi wote mnashinda JF lakini hamtaki kuwaambia wananchi wenu wajiunge hapa JF?

JF DAIMA
 
Asilimia kubwa ya maudhui ya JF kwa sasa Upande wa mijadala ni Papuchi, kugegeda, Kutafuta Mume/Mke na viupuuzi vingine vingine, Upande wa Jukwaa la Siasa ni Maudhui ya CHAWA tu ndio yana 'trend' Uki post mada nzito ama kufichua uovu fulani ndani ya Serikali Mada yako inapotezwa haraka na Mods.

Upande wangu Kwa sasa JF imekua ni kama kijiwe tu cha kuja kupepesa macho.
 
Ni vile serikali yetu inathamini facebook na twitter kuliko Mtandao wa mwanaNChi wake Raisi alitakiwa awe na account jamii forums... na viongozi wote akipost twitter kwa Elon musk wakati analipia USD 8 aje apost na huku jamii forums kuonesha kusupport vitu vya ndani

hii jamii forums ingekuwa SA Now ungekua mtandao namba moja africa
 
Kingine JF inaonekana kama haramu hivi, eti tunatumia kwa kujificha na hata huwezi kumwambia mtu kuwa umejiunga JF!!
 
Asilimia kubwa ya maudhui ya JF kwa sasa Upande wa mijadala ni Papuchi, kugegeda, Kutafuta Mume/Mke na viupuuzi vingine vingine, Upande wa Jukwaa la Siasa ni Maudhui ya CHAWA tu ndio yana 'trend' Uki post mada nzito ama kufichua uovu fulani ndani ya Serikali Mada yako inapotezwa haraka na Mods. Upande wangu Kwa sasa JF imekua ni kama kijiwe tu cha kuja kupepesa macho.
me naamini ni vile tu Serikali imeshiNDwa kutoa support...
 
Asilimia kubwa ya maudhui ya JF kwa sasa Upande wa mijadala ni Papuchi, kugegeda, Kutafuta Mume/Mke na viupuuzi vingine vingine, Upande wa Jukwaa la Siasa ni Maudhui ya CHAWA tu ndio yana 'trend' Uki post mada nzito ama kufichua uovu fulani ndani ya Serikali Mada yako inapotezwa haraka na Mods.

Upande wangu Kwa sasa JF imekua ni kama kijiwe tu cha kuja kupepesa macho.

Mkuu Kuna mkakati unafanyika ili kuibomoa JF ndo maana unaona ujio mkubwa vijna wa hovyo
 
Huu mtandao ukiona uko interested nao. Basi ujue wewe uko Smart sana,

Sio kila mtu anayapenda maarifa. Vijana siku hizi wao busy na Instagram, Facebook japo uko nako kuna maarifa lakini bado Jf inabaki kuwa On Top.

Japo kuwa siku hizi Jf kuna ID Uwa zinapost Pumba sana sijui ndo kusema U Great thinker Umewakolea sana.

Maana Matusi, kejeli, dharau vimekithili miaka ya hivi karibuni. TUBADIRIKENI

#JfTogether
 
Uko sawa mkuu
Asilimia kubwa ya maudhui ya JF kwa sasa Upande wa mijadala ni Papuchi, kugegeda, Kutafuta Mume/Mke na viupuuzi vingine vingine, Upande wa Jukwaa la Siasa ni Maudhui ya CHAWA tu ndio yana 'trend' Uki post mada nzito ama kufichua uovu fulani ndani ya Serikali Mada yako inapotezwa haraka na Mods.

Upande wangu Kwa sasa JF imekua ni kama kijiwe tu cha kuja kupepesa macho.
[emoji736]️
 
Sina hakika kama Mods wa kipindi cha 2007 mpaka 2014 ndio waliopo sasa hivi hawa wamekuwa waoga mno
 
Back
Top Bottom