Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,202
- 4,653
Viongozi hawawezi kupostia jf kwa sababu ya utambulisho fiche
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kifupi hawa memba 620,000 wa jf wanatosha.Asilimia kubwa ya maudhui ya JF kwa sasa Upande wa mijadala ni Papuchi, kugegeda, Kutafuta Mume/Mke na viupuuzi vingine vingine, Upande wa Jukwaa la Siasa ni Maudhui ya CHAWA tu ndio yana 'trend' Uki post mada nzito ama kufichua uovu fulani ndani ya Serikali Mada yako inapotezwa haraka na Mods.
Upande wangu Kwa sasa JF imekua ni kama kijiwe tu cha kuja kupepesa macho.
Jf kumejaa wajinga wengi mno, hakuna kiongozi makini atafatilia huu ujinga unaofanywa na members humu.Ni vile serikali yetu inathamini facebook na twitter kuliko Mtandao wa mwanaNChi wake Raisi alitakiwa awe na account jamii forums... na viongozi wote akipost twitter kwa Elon musk wakati analipia USD 8 aje apost na huku jamii forums kuonesha kusupport vitu vya ndani
hii jamii forums ingekuwa SA Now ungekua mtandao namba moja africa
Sawa.Ila siyo sahihi kupata maarifa ya upande mmoja tu.Nawe uwe unatembelea mitandao mingine,kutazama filamu,kujichanganya katika maongezi ya jumuiya mitaani na usisahau kusoma vitabu mbalimbali.Nashangaa kuona watu hawatumii huu mtandao Wala sio members wakati kwa Tanzania hakuna mtandao wenye watu smart na Maarifa na uchumi Kama hapa JF.
Naomba Serikali waweke mpango kwa kila mtanzania awe na App ya JF katika simu yake .
JF Ni kisiwa Cha Maarifa the home of Great thinkers. Hapa ni zaidi ya chuo kikuu japo Kuna madanga na vijana wa hovyo wanafungua I'd mpya ili kupost pumba hawa wanatumwa na watu fulani kutoka Sehemu za Juu na ntakuja kuwataja Muda wao utakapotimia, it's just matter of time.
Serikali Viongozi wote mnashinda JF lakini hamtaki kuwaambia wananchi wenu wajiunge hapa JF?
JF DAIMA
Hao smart wapo wapi? Huyi tu aliyeleta hii post ni mjinga na mpumbavu wa mwisho. Fatilia mijadala na post zake.Huu mtandao ukiona uko interested nao. Basi ujue wewe uko Smart sana,
Sio kila mtu anayapenda maarifa. Vijana siku hizi wao busy na Instagram, Facebook japo uko nako kuna maarifa lakini bado Jf inabaki kuwa On Top.
Japo kuwa siku hizi Jf kuna ID Uwa zinapost Pumba sana sijui ndo kusema U Great thinker Umewakolea sana.
Maana Matusi, kejeli, dharau vimekithili miaka ya hivi karibuni. TUBADIRIKENI
#JfTogether
kwan twitter wajinga hawapoJf kumejaa wajinga wengi mno, hakuna kiongozi makini atafatilia huu ujinga unaofanywa na members humu.