Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hata mimi tangu nimeifahamu jf miaka 7 iliyopita ulikua ni mtandao makini sana. Nondo kibao hadi kitaa watu wanauliza we jamaa hizi nondo unazijulia wapi.!?Asilimia kubwa ya maudhui ya JF kwa sasa Upande wa mijadala ni Papuchi, kugegeda, Kutafuta Mume/Mke na viupuuzi vingine vingine, Upande wa Jukwaa la Siasa ni Maudhui ya CHAWA tu ndio yana 'trend' Uki post mada nzito ama kufichua uovu fulani ndani ya Serikali Mada yako inapotezwa haraka na Mods.
Upande wangu Kwa sasa JF imekua ni kama kijiwe tu cha kuja kupepesa macho.
Ila hasa hii miaka kuanzia 2020, watu wa hovyo wamevamia aisee, na kuna wale wa zamani ambao wameshakengeuka basi nao wanabadili id zao na kufungua nyingine. Wale walojisali kwa account mbili basi wanaanza kucomment ujinga kwa account nyingine.